Kwa hili alilolifanya Diamond, litamgharimu sana katika safari yake ya kimuziki

Kwa hili alilolifanya Diamond, litamgharimu sana katika safari yake ya kimuziki

Baada ya mwaka ntakuita hapa kwenye huu uzi uje Ufute hii comment yako, huwa nawapenda sana nyie mnaojifanya wapiga ramli, mwenzio Matola alisema lazima wema sepetu ashinde ubunge nilimuahidi kumkumbusha baada ya kura.
My take: your just no body in people's destinations, Diamond atashuka siku riziki yake ikifika mwisho and not otherwise. U should take a chill and Relax.

Cc. Kimbley mzurimie kimnana Ruttashobolwa chige samsung. Nimewamic jamani.

Mie nipo kipenzi, just nimechoka kujibizana na viumbe wazito, napita kimya kimyaa....
 
Last edited by a moderator:
Baada ya mwaka ntakuita hapa kwenye huu uzi uje Ufute hii comment yako, huwa nawapenda sana nyie mnaojifanya wapiga ramli, mwenzio Matola alisema lazima wema sepetu ashinde ubunge nilimuahidi kumkumbusha baada ya kura.
My take: your just no body in people's destinations, Diamond atashuka siku riziki yake ikifika mwisho and not otherwise. U should take a chill and Relax.

Cc. Kimbley mzurimie kimnana Ruttashobolwa chige samsung. Nimewamic jamani.

Msanii bila mashabiki wapi na wapi! sisi ndo tuliokuwa tunampigia kura,vijana wote wa mtaani na kwenye mavyuo wakiisha jua tu chalii ni msaliti mambo yake yameisha.kwenye hii miezi miwili ataonyesha true colour zake na watu wote watamjua,na mambo yake itaishia hapo..Things will never be the same again..
 
Huyu dogo naona waliompa kazi ya siasa hawakumfunda cha kuongea au wanampoteza.

Muda wake wote hivi sasa imekua imekua nikupost propoganda za kichochezi thidi ya kile anachokiita "UKASKAZINI" kwenye siasa.

Napenda nimshauri tu kuwa kuna maisha baada ya uchaguzi na bado ana safari ndefu katika maisha yake na sanaa yake ikilinganishwa na hao "wanaomtumia" hivi sasa ambao wako saa 12 jioni.

Siasa za uchochezi zitaku-cost siku moja dogo.
 
FACTS.
Kihistoria, hakuna msanii anayejihusisha na siasa akiwa kwenye kilele cha taaluma yake akafahulu. Diamond anaelewa vibaya sifa zake kuwa si za siasa bali ni usanii. Hasije akafikiri anaweza kucommand politics kama entertainment. Let him stick to music na awaachie wanasiasa siasa zao.
NB. Ajuwe politics is dirty game.
 
ndiyo maana anazoazoa malaya huyu kijana......mtoto mwenyewe wa kupakaziwa..
hana jipya aendelee na malaya wenzake siasa ina wenyewe!!
 
3f139__diamond2Bvs2Blowasa.jpg
 
Unaota ndoto kwani ww si una chama unachoshabikia km huna la kuongea kaa kimya hilo ndo chaguo lk km ww ulivyo na chaguo lako

Sijui kama mnaelewa maana ya kuitwa kioo cha jamii. Umaarufu unaambatana na umuhimu wako katika jamii,kuwa kwa kauli yako waweza kugeuza imani ya watu na kufuata mwelekeo mwingine. Hivyo wakati mwingine yapo mambo uyapendayo yanabaki moyoni mwako ili usivuruge jamii.
Mfano, sasa hivi zipo sheria za ushoga huko majuu wanalazimisha zitumike huku kwetu nasi kwa maadili yetu tunazikataa. Lakini jee ni kweli hakuna wapenda ushoga?
Sasa wengi tuna pinga, Lakini ikitokea mhe Rais yeye binafsi anapenda na akasimama hadharani kutetea tutasema huo ni uhuru wake binafsi asiingiliwe? Mnadhani hilo litaleta repercussion gani kwa taifa kuhusu ushoga?
Majibu mnayo.
 
Yani na wewe unaamini hizi toilet papers magazeti ya shegongo ni toilet papers Lowassa
Hana mda mchafu wa kumake deals na vigalula
Kama domo anatafuta kick kwenye majina makubwa Lowassa mwenyewe anajaza mahali popote bila nguvu ya mtu yeyote Lowassa ni kkama Michael Jackson na domo ni kama ashangedere wapi na wapi??????

Hao waliomdanganya na kumfikirisha kama ana ushawishi wa kuwapigisha WATANZANIA kura kwa ccm wamempoteza domo hana influences zozote kwa WATANZANIA zaidi ya kukata viuno na hiyo ndio ajira yake kama ni ushawishi atawashawishi malaya zake.
 
ni mwananchi kama sie na ana maisha nje ya Muziki

Sioni tatizo kwa yeye kuandika hivyo ni uamuzi wake na nimependa alivyoandika kakaribisha mtu anayepingana nae aseme ni kwanini, ni kama ka dibeiti fulani kaweka.

Kuhusu muziki wake embu wekeni hayo pembeni na maisha yake na yeye aishi kama mtanzania . akiishi maisha feki ndio mtafurahia, anaishi yeye

msisahu kumpigia kura katika makategory na tuzo kibao tujivunie na nchi yetu


.

Tatizo watu wengine ufikiri wao ni tofauti na wako hawaelewi maana ya vyama vingi kl mtu ana upande wake na maisha yanaendelea
 
Duh huyo Diamond nae ni binadamu kama wengine anautash wake jamani. Kwa hiyo unataka asapoti UKAWA kwa vile mashabiki wake wako ukawa. Hii sasa kuingilia utashi wa mtu duh

Umeongea point tatizo hao hata ueleze mpaka kukuche madhali hashsbikii Ukawa hawatakuelewa jana Uwoya alikuwa kwa Lowasa ny ni utashi wk ana haki ya kuchagua anapotaka
 
Pindi akipoenda Arusha kwa Lowasa mbona hamkuandika huu ujinga sasa nyinyi UKAWA si mumpigie kura DAVIDO kama kwenye MTV tuwanyooshe tena afu sio daimond tu wasanii kibao wameweka hiyo logo mbona hujawaandika? We kama ukawa ni kibaka tu na Magufuli atawanyoosha tu!

Usinichekeshe mbona wewe unajionyesha dhahiri sy CCM umeshindwa kujizuia na wao wasanii wana roho na nyongo km wewe acha ubinafsi
 
Msanii bila mashabiki wapi na wapi! sisi ndo tuliokuwa tunampigia kura,vijana wote wa mtaani na kwenye mavyuo wakiisha jua tu chalii ni msaliti mambo yake yameisha.kwenye hii miezi miwili ataonyesha true colour zake na watu wote watamjua,na mambo yake itaishia hapo..Things will never be the same again..

We kama nani hadi useme things will never be the same again???? Huongelei fact unaleta blah blah tu, ulikuwa ukimpigia kura pekeako? And how far are you sure kuwa wewe na wenzako mkiacha kumpigia kura wengine pia wataacha? Unajua idadi ya mashabiki damu wa diamond?
bado naziona hizi ni ramli tena ramli angushi.
 
Sitoacha kumpigia kura diamond wangu na sitoacha kumpa sapoti yeyote ile anayostahili kutoka kwangu kama shabiki wa damu.Natambua ni haki yake ya msingi kufanya hivyo na siwezi kumpangia cha kufanya.

Mashabiki wa diamond tupo na tutaendelea kuwepo

Ni kweli mashabiki wa diamond wanajua wanalofanya watabaki kuwa mashabiki wk na ikiwa kuna tofauti kwenye siasa hivyo ni vitu tofauti kabisa jamani watu wanapayuka mishipa ya shingo inawatoka kisa hayupo ukawa
 
Wolper mbona hamjamsema? Au anachofanya siyo kampeni kwa Lowassa?

Wolper na Ezekiel mpaka cake wamepeleka kuonyesha MAHABA yao kwa Lowasa hawajafanya makosa ni haki yao km ilivyo kwa Diamond tena Lowasa kawaomba wamfanyie kampeni ni sahihi tu wala haina shida ndiyo upande waliochagua wl hatutakiwi tuwakwaze
 
hahahaha mkuu angalia kama followers wake wamepungua.... hahaha wameongezeka from 944k to 945k hujapunguza kitu!!!!!!!

Wewe ndo huelewi unachokifanya siasa imeshaharibu ubongo wako sasa ulivyojitoa ndiyo imempunguzia nini tuambie followers wake sasa hivi wapo wangapi utakufa kwa presha
 
Hata obama alisapotiwa na takribani wanamuziki wote wa America so sioni ajabu diamond kumpigia debe Mh J.P Maguu Full.Uhuru wa kuamua jambo pasipo kuvunja sheria lazima uzingatiwe.Lakini kumbukeni kuwa Diamon Platz hajaanza leo kutumika na ccm katika shughuli za kichama kwa hiyo kikubwa nikumsapoti kama mwanasanaa lakini asitupotoshe katika msimamo wetu wa kumchagua tumtakae..

Verry true
 
Back
Top Bottom