Kwa hili alilolifanya Diamond, litamgharimu sana katika safari yake ya kimuziki

Kwa hili alilolifanya Diamond, litamgharimu sana katika safari yake ya kimuziki

tatizo sio ccm kwa nn awe mnafiki alianza na lowassa sasa magufuli kama ni jembe magufuli mbona hakumpa sapot au kupost insta kabla ya lowassa kuhama inamaana hapo magufuli akiondolewa(mfano) akawekwa bilal au kawabwa pia atasema ni majembe we huoni kuna kitu hapo

Sasa ndiyo utie akilini kwamba yy ni CCM alimsapoti Lowasa akiwa CCM amehama unataka na yy ahame chama
 
Naomba kuuliza. Kwani ukawa ndio utakuwa unampangia ratiba za show zake na tour za nje ya nchi?
Chibu kipaji chake kimeshaonekana kimataifa hata aje raisi kutoka wapi hata athirika chochote , sbb kazi zake ni kwa juhudi zake binafsi

Mbona watu wengine mnaongea chicha kwani yy ameajiriwa na serikali? Walio na ajira za serikali ndy waoga wanajificha ficha
 
Baada ya mwaka ntakuita hapa kwenye huu uzi uje Ufute hii comment yako, huwa nawapenda sana nyie mnaojifanya wapiga ramli, mwenzio Matola alisema lazima wema sepetu ashinde ubunge nilimuahidi kumkumbusha baada ya kura.
My take: your just no body in people's destinations, Diamond atashuka siku riziki yake ikifika mwisho and not otherwise. U should take a chill and Relax.

Cc. Kimbley mzurimie kimnana Ruttashobolwa chige samsung. Nimewamic jamani.

ahahahaaa mi pia nimekumiss!nikajua na wewe utakua shabiki fake wa kutaka diamond afanye wanachopenda wao kila siku!!

Diamond ni winner siku zote na mamluki hatuwataki tena kwenye team yetu najua tu watakuja na ID fake!hatutaki makapi tenaaaa yaani wao wabakie hukohuko
 
Last edited by a moderator:
FACTS.
Kihistoria, hakuna msanii anayejihusisha na siasa akiwa kwenye kilele cha taaluma yake akafahulu. Diamond anaelewa vibaya sifa zake kuwa si za siasa bali ni usanii. Hasije akafikiri anaweza kucommand politics kama entertainment. Let him stick to music na awaachie wanasiasa siasa zao.
NB. Ajuwe politics is dirty game.

Akafahulu-akafaulu
Hasije-Asije
 
Baada ya mwaka ntakuita hapa kwenye huu uzi uje Ufute hii comment yako, huwa nawapenda sana nyie mnaojifanya wapiga ramli, mwenzio Matola alisema lazima wema sepetu ashinde ubunge nilimuahidi kumkumbusha baada ya kura.
My take: your just no body in people's destinations, Diamond atashuka siku riziki yake ikifika mwisho and not otherwise. U should take a chill and Relax.

Cc. Kimbley mzurimie kimnana Ruttashobolwa chige samsung. Nimewamic jamani.
You're so beautiful as always! Hizi ramli zao zinaboa hivi sasa manake tangu waanze kupiga ramli, huyo mgonjwa angekuwa keshakufa hivi sasa! Kuna mmoja wao nilimuuliza hiki kibri cha kujiona wao ndo wana-rule the world wanakitoa wapi wala hajanijibu hadi sasa! Watu oh, huoni hata Marlaw amepotea... yaani mtu kaamua kutulia na wife wake wanataka kuaminisha watu kwamba ni kuipigia kampeni CCM ndiko kumemwondoa Marlaw kwenye muziki! Hawajiulizi, why of all iwe Marlaw peke yake ndo wa kupotea wakati wengine wote ambao alikuwa nao kwenye kampeni bado wanadunda hadi kesho! Wala hawataki au huenda hawana uwezo wa kuunganisha dots na kugundua sio Tanzania tu bali hata sehemu nyingine duniani wasanii huwa wanaachana na sanaa mara baada ya kuingia kwenye mahusiano ya kindoa kama alivyofanya Marlaw!
 
So, what is your point?
 
FACTS.
Kihistoria, hakuna msanii anayejihusisha na siasa akiwa kwenye kilele cha taaluma yake akafahulu. Diamond anaelewa vibaya sifa zake kuwa si za siasa bali ni usanii. Hasije akafikiri anaweza kucommand politics kama entertainment. Let him stick to music na awaachie wanasiasa siasa zao.
NB. Ajuwe politics is dirty game.
Wapiga ramli mpo wengi na mlivyo na roho mbaya wote ramli zenu zipo in favor of downfall! Hivi hizo ramli zenu ingekuwa zinafanya kazi huyo Diamond leo angekuwapo? Lakini kwa bahati mbaya, kadri mnavozidisha ramli, ndo kwanza zina-prove otherwise! By the way, ikiwa unazungumzia history means kuna documented facts! Je, unaweza kunijia at most 3 musicians ambao baada ya kufanya kampeni za kisiasa, wakafutika kwenye ramani? Uje na facts na sio assumptions sawa na mnavyomtaja Marlaw ambae wala hamjiulizi, ni kwanini wasanii wengi wakiingia kwenye ndoa wanaanchana na sanaa na msione Marlaw nae probably ameachana na sanaa baada ya kuingia kwenye ndoa na sio kwa sababu ya kuipigia kampeni CCM hasa ukizingatia wasanii wenzake ambao alikuwa nao kwenye kampeni bado hadi leo wanakimbiza kwenye sanaa!

I hope hautasingizia kwamba Kiswahili hukielewi vizuri na kwahiyo hujanielewa ninachokuuliza!!!
 
Msanii bila mashabiki wapi na wapi! sisi ndo tuliokuwa tunampigia kura,vijana wote wa mtaani na kwenye mavyuo wakiisha jua tu chalii ni msaliti mambo yake yameisha.kwenye hii miezi miwili ataonyesha true colour zake na watu wote watamjua,na mambo yake itaishia hapo..Things will never be the same again..
Kama unaona Diamond hana haki ya kuchagua anacho kipenda au kukiamini hebu niambie Ney,Shamsha,Walper,Aunt,Roma,Nick,Kala,Profesa jay haki hizo wamezitoa wapi?

Kama kweli kuna mtu anampenda Diamond basi ata heshimu hisia zake na lazima ajue si kila wakati atatimiza matakwa ya kila shabiki wake na yeye ni binadamu! Hivi kama ange muunga mkono Lowasa au mwingine unafikiri wengine wasinge chukia?

Kuwa mshabiki wake kusifanye mtu akose uhuru au kumnyima haki za kuchagua au kufikiri tofauti..tusimfanye mtu awe mtumwa wetu!

Usimshabikie mtu au kumuunga mkono mtu ili awe mfungwa wako kumbuka kuna maisha baada ya octoba siasa zisitufanye tujenge chuki namna hii!

Hivi ni demokrasia hipi tunayo ihubiri ikiwa tunashindwa kuwapa uhuru tunaowapenda! Kwanini tusitembee na tunayo yanena?!

Upendo wa kweli hauna kipimo wala mipaka...kama kweli ulimpenda Diamond uwezi kumchukia kisa ameona amshabikie mgombea fulani au chama fulani .....!

Hebu tutende haki ikiwa tunapenda kutendewa haki na tujifunze kutoa na kupokea...!
 
We kama nani hadi useme things will never be the same again???? Huongelei fact unaleta blah blah tu, ulikuwa ukimpigia kura pekeako? And how far are you sure kuwa wewe na wenzako mkiacha kumpigia kura wengine pia wataacha? Unajua idadi ya mashabiki damu wa diamond?
bado naziona hizi ni ramli tena ramli angushi.
Kwakweli hii nchi ina maajabu...? Yani Profesa jay ana haki ya kushabikia siasa na kuifanya lakini! Diamond hana haki
 
Msimtishe Daimondi uwezo wa kummaliza hamna bwebwe tu huzo. Ana haki ya
Kuamini anachoamini. Mbona hamsemi kwa Sugu, Professor J, Wolliper. Antiezrkiel, ShamsaFord nawasanii wengine wanaounga mkono ukawa hawa nao tuwaweke kundi gain?nao wanajimaliza? Acheni wivu wa ndio ndio tu. Alipokwenda Arusha kwenye uzinduzi wa kampeni za Lowasa alipokua ccm mbona hamkusema?madereva wanaunga mkono ccm mbona mnapanda daladala zao hamsusi
 
Baada ya mwaka ntakuita hapa kwenye huu uzi uje Ufute hii comment yako, huwa nawapenda sana nyie mnaojifanya wapiga ramli, mwenzio Matola alisema lazima wema sepetu ashinde ubunge nilimuahidi kumkumbusha baada ya kura.
My take: your just no body in people's destinations, Diamond atashuka siku riziki yake ikifika mwisho and not otherwise. U should take a chill and Relax.

Cc. Kimbley mzurimie kimnana Ruttashobolwa chige samsung. Nimewamic jamani.

kitu wanazani wakiandika basi watu wengi sie tutawavalisha majoo na kuungana nao, tatizo lao wivu tu umewajaa.

tunajua bila Diamond hawana la kuongelea juu ya siasa juzi amepata followers zaidi mfano insta juu ya elfu 30. ndio maana wanalia lia tu.

Chibu ana roho safi na nyota na baraka bado wanataka kumjazia majanga awe kama wao.

watanyooka tu
 
Jamani hii ni nchi ya demokrasia... we mbna hakuna aliekupangia usupport wapi?? Kwann mumpangie diamond au ye hana haki?? Wapi iliandikwa msanii hatakiwi kusuuport ccm... hajakosea mkapa kuwaita malofa
 
Hongera Diamond umeonyesha ni jinsi gani unavyo jielewa na utaendelea kuwa juu baki njia kuu
 
FACTS.
Kihistoria, hakuna msanii anayejihusisha na siasa akiwa kwenye kilele cha taaluma yake akafahulu. Diamond anaelewa vibaya sifa zake kuwa si za siasa bali ni usanii. Hasije akafikiri anaweza kucommand politics kama entertainment. Let him stick to music na awaachie wanasiasa siasa zao.
NB. Ajuwe politics is dirty game.

Hii ni kwa diamond au kwa wote? VP kuhusu Sugu ambae ni msanii anayefanya siasa?? Name professor Jay?? Au kwao hawa other factors remain constant??
 
Back
Top Bottom