JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Akili za baadhi ya wa Islam weusi(sio wote), zina shida Sana, unaona kosa 50 cent kutumbuiza saudia!nchi ya kiislam, kwamba anaitia najisi! Lakini huoni shida, Dada yenu zuchu(anajitambulisha kama mtoto wa kiislam) lakini kawekwa kimada na Mond, anapigwa mgangaluma swaaaafi kila siku! Ila hamuoni shida!Unaweza vipi kutoa kibali kwa msanii wa muziki wa " hip hop " kutoka Marekani kufanya show nchini Saudi Arabia?
Seriously!!!
A guy who talks about shooting other people and utter a lot of cursing words in his song?
Yes when I was a little bow wow ( a very young boy) nilikuwaga shabiki wa 50 but the last thing that I will ever want to see on the face of planet earth is seeing a negro like 50 Cent performing in Saudi Arabia.
A king can do no wrong. So tunasema, watu walio karibu yake wana mshauri vibaya.