LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
- Thread starter
- #161
Ishu za usalama wa nchi ni tofauti na masuala ya maadili. The Holy Land has to be respectedKwani Bin Laden si alitaka kuiondoa hiyo familia yao madarakani lakini marekani akawasaidia kummaliza?
Unashanga kuhusu Fif AKA fitty, lakini haushangai kuwa marekani wana base kubwa sana ya kijeshi pale Saudi na wanailinda ile nchi?