Kwa hili la 50 Cent, King Mohamed Salman wa Saudi Arabia hayupo sahihi hata kidogo

Akili za baadhi ya wa Islam weusi(sio wote), zina shida Sana, unaona kosa 50 cent kutumbuiza saudia!nchi ya kiislam, kwamba anaitia najisi! Lakini huoni shida, Dada yenu zuchu(anajitambulisha kama mtoto wa kiislam) lakini kawekwa kimada na Mond, anapigwa mgangaluma swaaaafi kila siku! Ila hamuoni shida!
 
Makobasi hawajawah kua na akil aisee..dah
 
Wivu utakuua. 50cent anaenda saudia wewe wa kazuramimba unaumia 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Dah umemaliza kabisa mkuu. Warabu wa kazuramimba ni shida.
 
Kuna ubaya gani kwani, mbona Mohammed alikuwa anaua na kubaka wake za watu na bado wewe na Waislam kibao duniani mnamuabudu? Je ni haki kumuabudu mbakaji na muuwaji kama Mohammed, seriously just be honest to yourself.
 
Bora wabadilike aisee, sisi tunaoenda Saudia tunateseka sana hata sehemu ya kupiga kilaji ni shida. Hii habari ni nzuri sana kwangu mimi na mwanangu Soud N.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wakiruhusu na πŸ½πŸ·πŸ– ukichanganya na mitoto ya kiarabu ndio kutazidi kunoga balaaa πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ˜„
 
Uislamu unasemaje kuhusu mchezo wa ndondi? Saud Arabia kwa sasa ndiyo kitovu cha mchezo huo na mapambano yote makubwa yanafanyikia huko na kufadhiliwa na familia ya kifalme.
 
Weusi tuna matatizo sana. Yaani wewe baada ya kumshauri samia au ruto ambaye ni ndugu yako . Unaenda kutoa ushauri kwa wahuni ambao huna undugu nao hata chembe.

Tatizo ni hizo dini zinawadumaza akili mnaanza kujiona waarabu kuliko kuwa weusi.

Yaani wewe mweusi unamshauri mwarabu kwa lipi?
 
Mfalme wa Saudia kakosea wapi, kati ya Mohammed na 50 Cent nani ni firahuni? Kumbuka, mmoja kati ya hawa si mbakaji na alikuwa haui watu wala kulala na vitoto vidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…