LIKUD JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 18,037 Reaction score 33,681 Oct 6, 2024 Thread starter #161 jmushi1 said: Kwani Bin Laden si alitaka kuiondoa hiyo familia yao madarakani lakini marekani akawasaidia kummaliza? Unashanga kuhusu Fif AKA fitty, lakini haushangai kuwa marekani wana base kubwa sana ya kijeshi pale Saudi na wanailinda ile nchi? Click to expand... Ishu za usalama wa nchi ni tofauti na masuala ya maadili. The Holy Land has to be respected
jmushi1 said: Kwani Bin Laden si alitaka kuiondoa hiyo familia yao madarakani lakini marekani akawasaidia kummaliza? Unashanga kuhusu Fif AKA fitty, lakini haushangai kuwa marekani wana base kubwa sana ya kijeshi pale Saudi na wanailinda ile nchi? Click to expand... Ishu za usalama wa nchi ni tofauti na masuala ya maadili. The Holy Land has to be respected
Nakimbizwa Senior Member Joined Jun 19, 2023 Posts 154 Reaction score 302 Oct 6, 2024 #162 God is a pimp
jmushi1 Platinum Member Joined Nov 2, 2007 Posts 26,329 Reaction score 25,263 Oct 6, 2024 #163 LIKUD said: Ishu za usalama wa nchi ni tofauti na masuala ya maadili. The Holy Land has to be respected Click to expand... interesting
LIKUD said: Ishu za usalama wa nchi ni tofauti na masuala ya maadili. The Holy Land has to be respected Click to expand... interesting
Jerry001 JF-Expert Member Joined Apr 29, 2020 Posts 585 Reaction score 1,299 Oct 7, 2024 #164 FaizaFoxy said: Usichanganye Mtume na hao nadhalim mazayuni, kama huuelewi ukweli ni heri uulize. Click to expand... Wewe ajuza ni nini unachokijua!
FaizaFoxy said: Usichanganye Mtume na hao nadhalim mazayuni, kama huuelewi ukweli ni heri uulize. Click to expand... Wewe ajuza ni nini unachokijua!
The Loyalty King JF-Expert Member Joined Aug 22, 2024 Posts 1,298 Reaction score 2,124 Oct 15, 2024 #165 Nyie mnaujua uislam kuliko wao waliozaliwa katika ardhi ya chimbuko la uislam acheni ujinga dini zote no scammers tu MBS hataki kuendelea kuchuma dhambi ya utapeli Kwa kupitia Imani za watu
Nyie mnaujua uislam kuliko wao waliozaliwa katika ardhi ya chimbuko la uislam acheni ujinga dini zote no scammers tu MBS hataki kuendelea kuchuma dhambi ya utapeli Kwa kupitia Imani za watu