Ndugu zangu, tukaeni mkao wa kula. Kwenye hili la chanjo uwezekano wa Tanzania kuibuka kidedea chini Rais Magufuli ni mkubwa sana ili iwe fundisho.
Kitendo Cha watu huko China kukamatwa wakifyatua chanjo bandia imezidisha hofu duniani kuhusu usalama wa chanjo wa Ugonjwa wa Virusi vya Korona, UVIKO.
Hii ni kutokana kwamba halijulikani "wajanja" hao wameshasambaza kiasi gani "sokoni" maana nchi kadhaa zikiwemo Algeria, Rwanda, SA, Ghana nk wameshapokea mashehena ya chanjo na mengi yametokea China.
"Watanzania tuwe makini, si kila chanjo ni salama kwetu, tutafanyiwa majaribio ya ajabu"- Rais Magufuli.
"Watanzania tupingane mambo mengine lakini suala la chanjo tumuunge mkono Rais wetu Magufuli, hachanjwi mtu hapa"- Bollen Ngetti (Tahuri).
#HachanjwiMtuHapa!