Kwa hili la chanjo ya UVIKO Rais Magufuli ataibuka kidedea

Kwa hili la chanjo ya UVIKO Rais Magufuli ataibuka kidedea

Mleta mada pole sana, kwanza post yako inaonesha kiwango chako elimu. Kama kigezo cha kukataa kitu kwa sababu ni feki, basi tungekataa kila kitu. Ni bishaa gani duniani hazina feki au grade two, kama kuna feki, kwani hakuna mbinu ya kupata orijino? Huyo anaesema tukatae chanjo kwa kuwa ni feki yeye anafanya jitihada zipi ili apate chanjo yake ambayo siyo feki? Au jitihada ni hizo za mawaziri wa afya kuitisha conference na kuonesha pilipili, vitunguu, limao nk kuwa ni dawa ya Covid? Jitahidi kufiria
 
Ebu tuliza akili kidogo, na ufikirie nje ya box , kuna Nchi zimefuata hizo protocols za covid na bado watu wame puputika na wanaendelea kukupuputika, hivyo unacho ongelea hapa bongo ni uzushi au matamanio yako
Na wewe tuliza akili ufikirie kama Tanzania ingekua inapima na ku document watu wanaokufa na Corona hizo inchi zingekua afadhali.

Mnadanganywa na "media blackout" na kudhani eti hapa tumedhibiti ugonjwa, huu ni ujinga wa hali ya juu.

Watu wanapata ugonjwa bila kua documented, wanakufa bila kua documented, halafu wajinga mnasema tuna hali nafuu😂.

Tuna kazi kweli kweli.
 
Mleta mada pole sana, kwanza post yako inaonesha kiwango chako elimu. Kama kigezo cha kukataa kitu kwa sababu ni feki, basi tungekataa kila kitu. Ni bishaa gani duniani hazina feki au grade two, kama kuna feki, kwani hakuna mbinu ya kupata orijino? Huyo anaesema tukatae chanjo kwa kuwa ni feki yeye anafanya jitihada zipi ili apate chanjo yake ambayo siyo feki? Au jitihada ni hizo za mawaziri wa afya kuitisha conference na kuonesha pilipili, vitunguu, limao nk kuwa ni dawa ya Covid? Jitahidi kufiria
Chanjo zitaletwa na maofisa wa serikali watakuwa wa kwanza kuchanjwa. Subiri utaona.
 
Ndugu zangu, tukaeni mkao wa kula. Kwenye hili la chanjo uwezekano wa Tanzania kuibuka kidedea chini Rais Magufuli ni mkubwa sana ili iwe fundisho.

Kitendo Cha watu huko China kukamatwa wakifyatua chanjo bandia imezidisha hofu duniani kuhusu usalama wa chanjo wa Ugonjwa wa Virusi vya Korona, UVIKO.

Hii ni kutokana kwamba halijulikani "wajanja" hao wameshasambaza kiasi gani "sokoni" maana nchi kadhaa zikiwemo Algeria, Rwanda, SA, Ghana nk wameshapokea mashehena ya chanjo na mengi yametokea China.

"Watanzania tuwe makini, si kila chanjo ni salama kwetu, tutafanyiwa majaribio ya ajabu"- Rais Magufuli.

"Watanzania tupingane mambo mengine lakini suala la chanjo tumuunge mkono Rais wetu Magufuli, hachanjwi mtu hapa"- Bollen Ngetti (Tahuri).

#HachanjwiMtuHapa!
Unajua upeo wako wa ku-analys mambo siyo mzuri kama unavyofikiria? Serikali ikibali wananchi kuchanjwa, chanjo zitatoka sehemu inayoeleweka na zitasambazwa kwa mfumo unaoleweka ili kuhakikisha hakuna matapeli watakaoingiza chanjo fake kwenye mfumo. Lakini serikali ikichukuwa msimamo wa sasa hivi ina maana matapeli watapata mwanya wa kuweka mtandao wao wa kuingiza chanjo fake. Be informed kwamba kuna watu wengi tu wako tayari kuchanjwa na hawakubaliani na msimamo wa Magufuli.
 
Hakuna cha ajabu. Dawa fake kama zilivyo bidhaa nyingine, ni jambo la wakati wote. Sasa sijui kuibuka kidedea huko ni kuibuka kwa namna gani.

Tusipende kushabikia ujinga. Rais amepotoka kuonesha kuwa chanjo hazina msaada kwa maisha ya binadamu.

Na unapozunhumzia China, unazungumzia Taifa ambalo hakuna maadili, hakuma miiko wala mifumo imara ya udhibiti wa ubira wa vitu.

Kwa ujumla China imeiharibu Dunia kwa kusambaza bidhaa duni za kila aina. Nilinunua buti ya China, nikaambuwa ni high quality kwa sh 90,000. Baada ya miezi 2 ikaachia sori yote. Nilinunua buti Santiago mwaka 2002 kwa dola 75 moaka leo ipo. Katika buti hizi mbili, ipi ni aghali zaidi?

Watu hawajui. Vitu vya China ni aghali sana kwa sababu havidumu. Na nchi za Africa ni waathirika wakubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usinikumbushe suala la buti. Kipindi cha nyuma nilikuwa Ulaya kipindi cha winter nikanunua buti moja kali sana lina layer ya sufu kwa ndani kwa ajili ya baridi ya winter. Soli inaonekana kiboko na ina stud kwa chini ili usiteleze kwenye theluji. Nilivaa wiki moja tu buti likakatika katikati kama mtu amekata mkate nusu. Mpasuko ulianzia kwenye soli kuja juu. China noma.
 
Mlisema korona hakuna mkaibatiza jina jipya la newmonia.

Nenda MNH...nenda KCMC.... MAWENZI...ukawape pole wenye newmonia.
Huko mbali tuanze na hapo nyumbani kwenu kuna mgonjwa wa corrona?
 
Moja ya clips zinazotia mashaka ya chanjo
 
Attachments

  • 0_VID-20210203-WA0000.mp4
    15.9 MB
Muulizeni BOJO kwa nini hataki familia yake wapate chanjo?
 
Na wewe tuliza akili ufikirie kama Tanzania ingekua inapima na ku document watu wanaokufa na Corona hizo inchi zingekua afadhali.

Mnadanganywa na "media blackout" na kudhani eti hapa tumedhibiti ugonjwa, huu ni ujinga wa hali ya juu.

Watu wanapata ugonjwa bila kua documented, wanakufa bila kua documented, halafu wajinga mnasema tuna hali nafuu😂.

Tuna kazi kweli kweli.
Sasa hao un documented kwenye familia yako ni wangapi au majirani zako au wewe ukisikia Leo hii kwamba fulani kafa wewe kwako ni covid
 
Ndugu zangu, tukaeni mkao wa kula. Kwenye hili la chanjo uwezekano wa Tanzania kuibuka kidedea chini Rais Magufuli ni mkubwa sana ili iwe fundisho.

Kitendo Cha watu huko China kukamatwa wakifyatua chanjo bandia imezidisha hofu duniani kuhusu usalama wa chanjo wa Ugonjwa wa Virusi vya Korona, UVIKO.

Hii ni kutokana kwamba halijulikani "wajanja" hao wameshasambaza kiasi gani "sokoni" maana nchi kadhaa zikiwemo Algeria, Rwanda, SA, Ghana nk wameshapokea mashehena ya chanjo na mengi yametokea China.

"Watanzania tuwe makini, si kila chanjo ni salama kwetu, tutafanyiwa majaribio ya ajabu"- Rais Magufuli.

"Watanzania tupingane mambo mengine lakini suala la chanjo tumuunge mkono Rais wetu Magufuli, hachanjwi mtu hapa"- Bollen Ngetti (Tahuri).

#HachanjwiMtuHapa!
Ataibuka kidedea kwani anashindana na nani.Aliyekuwahi kawahi tu,aliyekutangulia katangulia tu.Kitaeleweka tu.Kwanza wanapiga kelele za nini wakati Tanzania hakuna c..........a.Sisi hatuumwi mbona chanjo imekuwa wimbo.Kwanza hata tungehitaji pesa za kulipia hatuna.
 
China ndio nchi inayoongoza kwa bidhaa zilizo chini ya ubora. Bidhaa za China tunazinunua kwa sababu ya unafuu na kukosa mbadala, lakini bidhaa zake karibu zote ni uchafu kama uchafu mwingine.

China anatoa bidhaa kulingana na uwezo wako. Ukitaka kinga ya jelo utapata. Yule mwenye mwekundu wa msimbazi naye anapata.
 
hili sakata la corona kwa ujumla magufuli kacheza kama pele, ndo uzuri wa kua na president aliesoma science vizuri, ingekua tuna president kasoma HGE tungeficha wap sura zetu
Kwani sura yako nani anihitaji, ongea kitu cha maana basi kama una akili.Kwa hiyo Wa HGE wao hawafai.Akili yako imejaa maji ndio maana unajipendekeza,kwani kuna uwanja hapa acheze kama Pele.Hapa ni upupu tu.
 
Ndugu zangu, tukaeni mkao wa kula. Kwenye hili la chanjo uwezekano wa Tanzania kuibuka kidedea chini Rais Magufuli ni mkubwa sana ili iwe fundisho.

Kitendo Cha watu huko China kukamatwa wakifyatua chanjo bandia imezidisha hofu duniani kuhusu usalama wa chanjo wa Ugonjwa wa Virusi vya Korona, UVIKO.

Hii ni kutokana kwamba halijulikani "wajanja" hao wameshasambaza kiasi gani "sokoni" maana nchi kadhaa zikiwemo Algeria, Rwanda, SA, Ghana nk wameshapokea mashehena ya chanjo na mengi yametokea China.

"Watanzania tuwe makini, si kila chanjo ni salama kwetu, tutafanyiwa majaribio ya ajabu"- Rais Magufuli.

"Watanzania tupingane mambo mengine lakini suala la chanjo tumuunge mkono Rais wetu Magufuli, hachanjwi mtu hapa"- Bollen Ngetti (Tahuri).

#HachanjwiMtuHapa!
Habari hizi zinetoka kwenye reliable source hipi kama sio propaganda zenye lengo la kupiga vita chanjo za Wachina - makampuni ya magharibi ndio wanataka wamonopolise uuzaji wa chanjo Duniani na kuwaoiga vita washinfani wao kwa kuwazulia kwamba chanjo zao ni fake, huu ni uhuni uliopitiliza mipaka na uchoyo wa hali ya juu - salama ya mataifa ya Afrrica hupo kwenye chanjo zitakazo zalishwa kutika Uchina au Urusi - Viongozi wetu wasisikilize propaganda hizi chafu zenye lengo la kuwaribia soko washindani wao wa kibiashara kumbukeni madai kuhusu Huawei - mchezo huo wa kuchafuana kibiashara ndio umehamia kwenye chanjo sasa.
 
Anaibukaje kidedea kwa habari kama hii? Kupenda kusifia hata pasipostahili ni tabia ta kujipendekeza.

Ni yeye amekamata hizo chanjo feki? Au unasema kuwa hatutakuja kuchanjwa na hata za hao wazalishaji wengine ambako chanjo feki bako hazijakamatwa??

Covid iko. Na itafika muda utahitaji kuchanjwa, hata kama hutatamka kwa kinywa!

Kama ni mwamba mwambie aitangazie dunia kuwa hatutaki chanjo yoyote Tanzania hii.
 
China anatoa bidhaa kulingana na uwezo wako. Ukitaka kinga ya jelo utapata. Yule mwenye mwekundu wa msimbazi naye anapata.
Mkuu, Serikali ya China hipo taugh sana kwenye suala hili, haiwezi hata siku moja kuruhusu kuji haribia sifa kwa ujinga kama huu hasa linapo kuja suala la kitabibu - madai ya media za magharibi ni uzushi mtupu - wanajua chanjo za China zimefanyiwa tafiti za muda mrefu na ziko effective by 98% ukweli huo ndio unawafanya washindani wao wawaxulie stori za kutunga tu, na kwa kuwa Ti Xing Ping alisema atatoa chanjo hizo bure kwa mataifa maskini ndio maana Big Pharma Companies zimejikita katika kampein chafu zenye lengo za kutia ofu mataifa ambayo yanataka kutumia chanjo zinazo zalishwa China.
 
Back
Top Bottom