Hakuna cha ajabu. Dawa fake kama zilivyo bidhaa nyingine, ni jambo la wakati wote. Sasa sijui kuibuka kidedea huko ni kuibuka kwa namna gani.
Tusipende kushabikia ujinga. Rais amepotoka kuonesha kuwa chanjo hazina msaada kwa maisha ya binadamu.
Na unapozunhumzia China, unazungumzia Taifa ambalo hakuna maadili, hakuma miiko wala mifumo imara ya udhibiti wa ubira wa vitu.
Kwa ujumla China imeiharibu Dunia kwa kusambaza bidhaa duni za kila aina. Nilinunua buti ya China, nikaambuwa ni high quality kwa sh 90,000. Baada ya miezi 2 ikaachia sori yote. Nilinunua buti Santiago mwaka 2002 kwa dola 75 moaka leo ipo. Katika buti hizi mbili, ipi ni aghali zaidi?
Watu hawajui. Vitu vya China ni aghali sana kwa sababu havidumu. Na nchi za Africa ni waathirika wakubwa.
Sent using
Jamii Forums mobile app