Kwa hili la chanjo ya UVIKO Rais Magufuli ataibuka kidedea

Kwa hili la chanjo ya UVIKO Rais Magufuli ataibuka kidedea

Kwani sura yako nani anihitaji, ongea kitu cha maana basi kama una akili.Kwa hiyo Wa HGE wao hawafai.Akili yako imejaa maji ndio maana unajipendekeza,kwani kuna uwanja hapa acheze kama Pele.Hapa ni upupu tu.

pumba!
 
sasa cha kushangaza nn apo? mzazi wako amefika hata phd ya useremala?
Kuwa na PhD siyo kuwa na maarifa, mifano iko mingi ya wenye PhD na maarifa hawana ukianza na Jiwe, Yule aliyetolewa anakojua yeye, Lipum na etc. Sasa mimi baba yangu ana PhD pamoja na maarifa.
 
[emoji40]
20210203_165340.jpg
20210203_165255.jpg
 
Kuwa na PhD siyo kuwa na maarifa, mifano iko mingi ya wenye PhD na maarifa hawana ukianza na Jiwe, Yule aliyetolewa anakojua yeye, Lipum na etc. Sasa mimi baba yangu ana PhD pamoja na maarifa.

at high level he is just another literate, phd maaana yake vitendo zaidi, so tunaweza sema phd ya magufuli ndo yenye maarifa zaidi kwa sababu ndo iko kwenye maono na ina maamuzi hio ya mzee wako imeishia wap mbna haina umuhimu wowote hii nchi,
 
Tuishie hapo mkuu.
 
Utapimwa tu (God forbid isiwe kile kipimo cha wachina) na Utachanjwa tuu. Huna pa kukimbilia.

Labda wewe sio msafiri na kama unasafiri, basi ni kutumia Yutong za akina Shabiby. Kama safari zako ni za kuvuka mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, utachanjwa tu😊
Hivi kwanini iwe lazima kuchanjwa kwenye hilo suala la kusafiri?
 
Hawana fedha za kulipia,watatakaje chanjo
Unamfahamu BOJO? Usiparamie vitu ambavyo hufahamu ... .... .... .... .... Boris Johnson the British Prime minister.
 
Hivi kwanini iwe lazima kuchanjwa kwenye hilo suala la kusafiri?
Hakuna lolote ni ujinga mtupu, hawa wazungu wanatafuta pesa kwa nguvu baada ya chumi zao kudorora na lock-downs. Chanjo sio lazima, kama ukipenda unapiga kama hutaki shauri yako lakini haina 100% guarantee.
 
Hawataki uende ukawaachie hivyo vimelea vya gonjwa huko kwao na wakaanza kazi ya kuvieradicate upya
Ila waliyochanjwa hizo chanjo nao si wanaambukiza pia endapo wakiwa na hivyo vimelea?
 
Ndugu zangu, tukaeni mkao wa kula. Kwenye hili la chanjo uwezekano wa Tanzania kuibuka kidedea chini Rais Magufuli ni mkubwa sana ili iwe fundisho.

Kitendo Cha watu huko China kukamatwa wakifyatua chanjo bandia imezidisha hofu duniani kuhusu usalama wa chanjo wa Ugonjwa wa Virusi vya Korona, UVIKO.

Hii ni kutokana kwamba halijulikani "wajanja" hao wameshasambaza kiasi gani "sokoni" maana nchi kadhaa zikiwemo Algeria, Rwanda, SA, Ghana nk wameshapokea mashehena ya chanjo na mengi yametokea China.

"Watanzania tuwe makini, si kila chanjo ni salama kwetu, tutafanyiwa majaribio ya ajabu"- Rais Magufuli.

"Watanzania tupingane mambo mengine lakini suala la chanjo tumuunge mkono Rais wetu Magufuli, hachanjwi mtu hapa"- Bollen Ngetti (Tahuri).

#HachanjwiMtuHapa!
 
China ndio nchi inayoongoza kwa bidhaa zilizo chini ya ubora. Bidhaa za China tunazinunua kwa sababu ya unafuu na kukosa mbadala, lakini bidhaa zake karibu zote ni uchafu kama uchafu mwingine.
Bidhaa za china ni ghali mno kuliko ya mataifa mengine jaribu kufikilia kwa kina utaujua ughali wa vifaa vya china.
 
Back
Top Bottom