Ndio. Jiwe anaiagiza wizara ya afya isipokee chanjo bila kujiridhisha kama ni sahihi. Na waziri juzi kasisitiza hawataingiza wala kupokea chanjo mpaka watakapojiridhisha chanjo hiyo ni salama. Maana yakemhawataki kupokea chanjo fake. "Hivyo ameionya Wizara ya Afya kutokimbilia kuhalalisha kila chanjo inayotangazwa itumike na Watanzania kabla ya kujiridhisha"
Na taarifa ya Wizara inasema "Wizara ya Afya inayo taratibu za kufuata pale inapotaka kupokea bidhaa yoyote ya afya baada ya Serikali kujiridhisha hivyo kwa nia njema kabisa ni hadi tujiridhishe na si vinginevyo,”
Rais Magufuli ataka Watanzania kujilinda huku wakimuomba Mungu kuwaepusha na ugonjwa wa corona kwakuwa chanjo hazifai.
www.mwananchi.co.tz