Mzee leo at least nimepata usingizi, nimekosa usingizi muda mrefu sana kwa karibia week mbili sasa.
Mkuu wapo wanapata na nguvu ya kuleta mada za siasa (hata leo) humu jamvini na hata kuangazia uchaguzi mkuu 2020.
Aliimba prof. Jay - "tuko tofauti".
Mzee leo at least nimepata usingizi, nimekosa usingizi muda mrefu sana kwa karibia week mbili sasa.
Hahahaha kazi ipoMkuu wapo wanapata na nguvu ya kuleta mada za siasa (hata leo) humu jamvini na hata kuangazia uchaguzi mkuu 2020.
Aliimba prof. Jay - "tuko tofauti".
Unaota ww sio bureNaunga mkono hoja, Rais Magufuli ni shujaa.
Wakati nchi za wenzetu wanaona Corona kama ugonjwa hatari hivyo kufunga mipaka, kusimamisha shughuli zote na hadi kufanya lock down kwa kutegemea nguvu za binaadam, shujaa rais Magufuli ameishtukia Corona sio ugonjwa bali ni shetani limekuja kwa mfano wa ugonjwa hivyo alichofanya ni jambo dogo tuu, kulikabidhi kwa Mungu ambaye ni kiboko ya shetani.
Mungu ameisha tukingia mkono wake, Tanzania bado hakuna kifo wala maambukizi ya ndani kwa ndani, local transmissions. Hivyo tuungane na rais wetu Magufuli, tusitishane, na Watanzania tuendelee kuchapa kazi, kwenda Kanisani, msikitini na kujichanganya na watu kama kunywa kahawa kidogo mitaani bila sanitizers kwa kukaribiana as if nothing happened huku tukichukua tahadhari kama tunavyoelekezwa na wataalamu iliwemo kunawa mikono kwa sabuni na maji tiririka.
P
Nchi zote duniani zimechukua tahadhari kubwa kuhusiana na hili gonjwa la corona, kuna serikali zimefungia raia wake wasitoke nje ikiwemo nchi za Africa Isipokuwa Tanzania.
Kwa hakika hili la Rais Magufuli kuruhusu shughuli ziendelee anapaswa kupongezwa na sio kubezwa, watanzania wengi ni masikini sana kipato chao kinategemea atoke arudi na chochote kumzuia akae ndani atakufa njaa.
Kwa kweli rais wetu ameona mbali kuruhusu shughuli ziendelee, cha muhimu ni sisi watanzania kumuunga mkono kwa kuuchukua tahadhari zote tuwapo kwenye shughuli zetu, na kwa hakika baada ya hili janga Rais Magufuli ataonekana shujaa hasa katika ukanda wetu huu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado unaamini hivyo?Nchi zote duniani zimechukua tahadhari kubwa kuhusiana na hili gonjwa la corona, kuna serikali zimefungia raia wake wasitoke nje ikiwemo nchi za Africa Isipokuwa Tanzania.
Kwa hakika hili la Rais Magufuli kuruhusu shughuli ziendelee anapaswa kupongezwa na sio kubezwa, watanzania wengi ni masikini sana kipato chao kinategemea atoke arudi na chochote kumzuia akae ndani atakufa njaa.
Kwa kweli rais wetu ameona mbali kuruhusu shughuli ziendelee, cha muhimu ni sisi watanzania kumuunga mkono kwa kuuchukua tahadhari zote tuwapo kwenye shughuli zetu, na kwa hakika baada ya hili janga Rais Magufuli ataonekana shujaa hasa katika ukanda wetu huu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwe unasali mkuu, Mungu hashindwi kitu.Afadhali wenzetu angalau mnapata usingizi mnalala na mnaamka.
Sisi wenzenu usingizi hatupati, unapanda tuu kitandani na kuishia kughalaghala hadi kunakucha.
P
Umesema kweli kbs hata China walisali tu sijui kanisa gani mpaka ugonjwa ukakimbia wenyewe. Waliwndelea kuchapa kazi. Mungu bariki hekima za viongozi wetu
Uzi usifutwe,shetani lazima aaibike hadharani
NasisitizaJana China karipoti vifo 1,290 ambavyo anasema eti alisahau kuvitolea taarifa.
Na hii ni baada ya presha kutoka USA kwamba China alificha data.
Hata jpm akisema anafunga kila kitu hawa jamaa watakuja tena kusifuMkuu ni mashaka makubwa kama jpm mwenyewe anakubaliana nawe kwenye hili.
Ila kwa vile wengine tumejiapiza kusifu kila juhudi, amini nakwambia mtampongeza kwa juhudi zozote atakazochukua bila kujali zina mashiko au la.
Hapa ndipo jpm alipaswa kuona. Afanye uamuzi sahihi bila kujali pongezi zenu maana pongeza tu.
Jana China karipoti vifo 1,290 ambavyo anasema eti alisahau kuvitolea taarifa.
Na hii ni baada ya presha kutoka USA kwamba China alificha data.
I wish kama wangeruhusiwa kutoka wale tu wenye ulazima...lakini wafanyakazi wangebaki nyumbani...hii ingepunguza msongamano kwenye baadhi ya maeneo mfano kwenye usafiri wa ummaNchi zote duniani zimechukua tahadhari kubwa kuhusiana na hili gonjwa la corona, kuna serikali zimefungia raia wake wasitoke nje ikiwemo nchi za Africa Isipokuwa Tanzania.
Kwa hakika hili la Rais Magufuli kuruhusu shughuli ziendelee anapaswa kupongezwa na sio kubezwa, watanzania wengi ni masikini sana kipato chao kinategemea atoke arudi na chochote kumzuia akae ndani atakufa njaa.
Kwa kweli rais wetu ameona mbali kuruhusu shughuli ziendelee, cha muhimu ni sisi watanzania kumuunga mkono kwa kuuchukua tahadhari zote tuwapo kwenye shughuli zetu, na kwa hakika baada ya hili janga Rais Magufuli ataonekana shujaa hasa katika ukanda wetu huu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii coment tui pin, naona inakuwa vice versa nowNaunga mkono hoja, Rais Magufuli ni shujaa.
Wakati nchi za wenzetu wanaona Corona kama ugonjwa hatari hivyo kufunga mipaka, kusimamisha shughuli zote na hadi kufanya lock down kwa kutegemea nguvu za binaadam, shujaa rais Magufuli ameishtukia Corona sio ugonjwa bali ni shetani limekuja kwa mfano wa ugonjwa hivyo alichofanya ni jambo dogo tuu, kulikabidhi kwa Mungu ambaye ni kiboko ya shetani.
Mungu ameisha tukingia mkono wake, Tanzania bado hakuna kifo wala maambukizi ya ndani kwa ndani, local transmissions. Hivyo tuungane na rais wetu Magufuli, tusitishane, na Watanzania tuendelee kuchapa kazi, kwenda Kanisani, msikitini na kujichanganya na watu kama kunywa kahawa kidogo mitaani bila sanitizers kwa kukaribiana as if nothing happened huku tukichukua tahadhari kama tunavyoelekezwa na wataalamu iliwemo kunawa mikono kwa sabuni na maji tiririka.
P
Shujaa dhidi ya nani??? Hili tatizo halina mshindi wala anaeshindwa. Dunia nzima itashinda kwa jina la Yesu alie hai. Kuna watu watakufa na wengine wamekufa tayari, wengine watapona. Na tatizo litakapoisha kutakuwa na tatizo lingine KUBWA. Uchumi utakuwa hohehahe utadorora. Huo muda wa kushangilia au kuonekana bingwa hautakuwepo. Watanzania tuache KUJIPENDEKEZA na siasa za jalalani kwenye matatizo makubwa kama haya ambayo Dunia nzima hailali inahangaika. Mungu ibariki Tanzania na watu wake Amina.Nchi zote duniani zimechukua tahadhari kubwa kuhusiana na hili gonjwa la corona, kuna serikali zimefungia raia wake wasitoke nje ikiwemo nchi za Africa Isipokuwa Tanzania.
Kwa hakika hili la Rais Magufuli kuruhusu shughuli ziendelee anapaswa kupongezwa na sio kubezwa, watanzania wengi ni masikini sana kipato chao kinategemea atoke arudi na chochote kumzuia akae ndani atakufa njaa.
Kwa kweli rais wetu ameona mbali kuruhusu shughuli ziendelee, cha muhimu ni sisi watanzania kumuunga mkono kwa kuuchukua tahadhari zote tuwapo kwenye shughuli zetu, na kwa hakika baada ya hili janga Rais Magufuli ataonekana shujaa hasa katika ukanda wetu huu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani aliandika hii comment hapa?Soon tutapoteana na huyo mjinga wako.Kaenda kujificha Chato
Tatizo ni pale ulipoamua kuwa mpiga ramli, bado unafikiri ulichokiandika ni sahihi?Naunga mkono hoja, Rais Magufuli ni shujaa.
Wakati nchi za wenzetu wanaona Corona kama ugonjwa hatari hivyo kufunga mipaka, kusimamisha shughuli zote na hadi kufanya lock down kwa kutegemea nguvu za binaadam, shujaa rais Magufuli ameishtukia Corona sio ugonjwa bali ni shetani limekuja kwa mfano wa ugonjwa hivyo alichofanya ni jambo dogo tuu, kulikabidhi kwa Mungu ambaye ni kiboko ya shetani.
Mungu ameisha tukingia mkono wake, Tanzania bado hakuna kifo wala maambukizi ya ndani kwa ndani, local transmissions. Hivyo tuungane na rais wetu Magufuli, tusitishane, na Watanzania tuendelee kuchapa kazi, kwenda Kanisani, msikitini na kujichanganya na watu kama kunywa kahawa kidogo mitaani bila sanitizers kwa kukaribiana as if nothing happened huku tukichukua tahadhari kama tunavyoelekezwa na wataalamu iliwemo kunawa mikono kwa sabuni na maji tiririka.
P
Duu umenikumbusha kikokoto waliyo geuka nakusifuHata jpm akisema anafunga kila kitu hawa jamaa watakuja tena kusifu