babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,644
- 3,328
time will tell
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sent from my iPhone using JamiiForums
Shujaa tangu anakimbilia maporini ?Nchi zote duniani zimechukua tahadhari kubwa kuhusiana na hili gonjwa la corona, kuna serikali zimefungia raia wake wasitoke nje ikiwemo nchi za Africa Isipokuwa Tanzania.
Kwa hakika hili la Rais Magufuli kuruhusu shughuli ziendelee anapaswa kupongezwa na sio kubezwa, watanzania wengi ni masikini sana kipato chao kinategemea atoke arudi na chochote kumzuia akae ndani atakufa njaa.
Kwa kweli rais wetu ameona mbali kuruhusu shughuli ziendelee, cha muhimu ni sisi watanzania kumuunga mkono kwa kuuchukua tahadhari zote tuwapo kwenye shughuli zetu, na kwa hakika baada ya hili janga Rais Magufuli ataonekana shujaa hasa katika ukanda wetu huu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Mkaliman, nakuunga mkono, mimi ni boya fulani na humu jf kuna ma GT na tuna maboya kibao.Boya fulani tu, uliandika nini sasa, na saivi kinaendelea nini sasa. Mwandishi makini anayekusudia kuelimisha hujitaidi kutumia lugha inayoeleweka na ikilazima atatolea maelezo baadhi ya maneno anayodhani kuwa ni msamiati katika andiko lake, Ila wewe unatuchezea akili tu, huna cha u GT wala nini[emoji19]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania inazungukwa na nchi kama saba hivi,kama nchi hizo zote zimefunga mipaka yake maana yake hakuna raia wa nje anayeingia tz wala kutoka tz maana majirani wamefunga mipaka yao,tunachokifanya ni kuacha wananchi wetu waendelee na shughuli zao kama kawaida kule kwenye viwanja vya ndege tuna dhibiti kwa kuwapima na kukaa karantini kwa siku 14 baadae maisha yanaendelea bila kuathiri waliomo ndani.ndo maana mpaka sasa maambukizi ni kidogo sana tz
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi kumkubali jiwe ila kwa hili naona kama yupo sasa hivi hasa ile Statement yake imesaidia kuondoa hofu
Nani amekudanganya kuwa Kansela Merkel alipata corona?Thomas noel ponera,
Kama Waziri Mkuu wa Uingereza, Prince Charles, na Chancellor wa Ujerumani wamepata huu ugonjwa, basi ugonjwa hata uweke precautions zipi huwezi kuukwepa. Kama unakuja unakuja tu.
Ninaamini hao wakubwa lazima waliweka maximum precautions.
Mungu anaendelea kutulinda.
una nchi ina madeni kila raia anadaiwa. una kirusi ambacho kukidhibiti lazima usimamishe shughuli za kiuchumi. utafanya je?
Kama umepitia andiko lako utagundua kuwa nime like, ila hoja yangu ieleweke, kama unataka maudhui yako yafikie watu wengi, hakikisha katika 10 angalau 7 watakuja na uelewa unaofanana wa hoja yako, vinginevyo hakuna hoja.Mkuu Mkaliman, nakuunga mkono, mimi ni boya fulani na humu jf kuna ma GT na tuna maboya kibao.
Ili kujipima kama wewe ni GT au ni boya, kasome bandiko hili,
Kwa hili la Corona, Magufuli anaenda kuonekana shujaa - JamiiForums
Jipime umeelewa nini?.
Mtu akiwa boya, ukimuita boya au kilaza, anakasirika, kuwa ametukanwa!. Mimi sio GT, ni boya tuu, ila kuna baadhi ya hoja zangu, wenye uwezo wa kunielewa ni ma GT only na sio maboya!.
Jipime, ukielewa karibu, kama ni boya, povu rukhsa!.
P
Hallow habari zenu
Ninerud Tena baada ya jana kuleta Uzi unao zipongeza juhud za MAGUFUL kupambana na Corona bila kuleta athar kubwa ya ki uchumi
Yamekua masaa machache tu toka tulipo sema Jana kua MAGUFUL atakuja kua mfano wa kuigwa dunian pia ataonesha kua kupambana na corona suluhu Sio kufungia watu ndani.suluhu ni kutoa elim namna ya kujikinga na kutafuta dawa. Turud kwenye point kwanin nasema maguful amekua mfano wa kuigwa ni baada ya baadh ya nch kuanza kuona kwamba kufungia watu ndani nikuatarisha maisha ya watu ajira pia hata uchumi wao na bila faida yoyote ya kupunguza maambukiz Bali kupata hasara
Kitu kizur na Cha kufuraisha ni baada ya marekan leo kutangaza kua hawato ifunga New York Yan hawawez New York karantin watu waendelee kufanya shughuli zao Ila tu wasiende Safar zisizo na ulazima pia waakikishe wananawa mikono kila wakati na kujiweka saf. Ukiangalia marekan New York ndio majimbo yanayo ongoza kwa kua na maambukiz ya korona lakin wameona athar watazo zipata pind watakapo ipiga Lock down New York hisa zitashuka pia uchuki utatetereka.
Na kwa mtizamo wangu siku si nying nch zingine zitaanza kuiga mfani mzuri wa Rais maguful na kukubaliana na mawazo yake ya Kaz lazima zifanyike na mapambano lazima yaendelee.
Pia watu walisema Jana kua ni mapema Sana kumsifia magugul ndio ni sawa Ila kwa mapema io io bado magufuli anafanya vizuri so acha tumpe sifa Mana yanayo endelea nch za jitan yanaogopesha na pia wote walio funga nch zao hawato weza kuendelea kufunga lazima watafungua tu Mana Corona CHANJO itapatikana mpaka baada ya nwaka mmoja so watu wataendelea kukaa ndani nwaka mzima?
Na wengine watafungua sababu tu marekan hajafunga
Hongera magufuli Ila wananch wako tumesikia kua Kuna nanii anaumwa Kama nikwel mzee asije akakuchafulia sifa zako aende kwenye kituo Mana vijana wa ufipa wanatafuta silaha ya kukuumizia
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Mkaliman, kwa Tanzania ya sasa, the operating environment is the law of the jungle, survival is only for the fittest, one to be fit in such operating environment, is the ability to adapt, adapting and adaptation to the current environment,Kama umepitia andiko lako utagundua kuwa nime like, ila hoja yangu ieleweke, kama unataka maudhui yako yafikie watu wengi, hakikisha katika 10 angalau 7 watakuja na uelewa unaofanana wa hoja yako, vinginevyo hakuna hoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Next time mtu aki quote mahali, ili kuiona yote aliyosezema una click jina lake unapelekwa moja kwa moja kwenye bandiko husika.
Kwa hili la Corona, Magufuli anaenda kuonekana shujaa - JamiiForums
P
Bia yetu Pascal Mayalla na waabudu miungu wengine, vipi hali ikoje huko? Mimi nimeamka nasali muda huu.Tanzania imejaza wapuuzi wengi sana sana sijapata kuona! Siku mkianza kufa kama kuku mje kuendelea kusifia ujinga huu. Badala ya kuchukua precautions mnatumia ugonjwa kujimwambafy, Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
Vipi huko naona maambukizi yamepunguaNchi zote duniani zimechukua tahadhari kubwa kuhusiana na hili gonjwa la corona, kuna serikali zimefungia raia wake wasitoke nje ikiwemo nchi za Africa Isipokuwa Tanzania.
Kwa hakika hili la Rais Magufuli kuruhusu shughuli ziendelee anapaswa kupongezwa na sio kubezwa, watanzania wengi ni masikini sana kipato chao kinategemea atoke arudi na chochote kumzuia akae ndani atakufa njaa.
Kwa kweli rais wetu ameona mbali kuruhusu shughuli ziendelee, cha muhimu ni sisi watanzania kumuunga mkono kwa kuuchukua tahadhari zote tuwapo kwenye shughuli zetu, na kwa hakika baada ya hili janga Rais Magufuli ataonekana shujaa hasa katika ukanda wetu huu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Afadhali wenzetu angalau mnapata usingizi mnalala na mnaamka.Bia yetu Pascal Mayalla na waabudu miungu wengine, vipi hali ikoje huko? Mimi nimeamka nasali muda huu.
Mzee leo at least nimepata usingizi, nimekosa usingizi muda mrefu sana kwa karibia week mbili sasa.Afadhali wenzetu angalau mnapata usingizi mnalala na mnaamka.
Sisi wenzenu usingizi hatuna.
P
Thomas noel ponera,
Kama Waziri Mkuu wa Uingereza, Prince Charles, na Chancellor wa Ujerumani wamepata huu ugonjwa, basi ugonjwa hata uweke precautions zipi huwezi kuukwepa. Kama unakuja unakuja tu.
Ninaamini hao wakubwa lazima waliweka maximum precautions.
Mungu anaendelea kutulinda.