frank ezras
Member
- May 5, 2015
- 75
- 31
Na mimi namuunga mkono Mungu kaamua kutukinga bado tunataka kujifungia ndani. Tutaweza kujilinda zaidi ya Prince Charles au Waziri mkuu wa uingereza Boris ambaye nae ana Corona?
Mungu mwenyewe anasema mtu akikupa chakula sema ahsante kwake Mungu aliekupa na sema shukrani kwa mikono iliyopitishia chakula hicho kuja kwako toka kwa Mungu. Wote na tuseme ahsante Mungu kwa kumpa Rais wetu uwezo wa kuzuia maambukizi toka nje huku ndani business as usual,Shujaa ni Mungu wa mbinguni
Nani anaweza kuiga yanayofanywa na kichaa??
Wee punguani nini..??!
Praise team naona mmefungishwa na ndoa. kwenye shida na raha mmo tu
Nani anaweza kuiga yanayofanywa na kichaa??
Wee punguani nini..??!
Wakija watakupinga lakini cha ajabu,wakifanya nchi jirani watashangilia,hizi ndio akili zao mkuu. Viva JPM.
macson
Kichaa yuko ikulu ya nchi yako! Laana huingia polepole, huyo mzee hata umri anakuzidi!Nani anaweza kuiga yanayofanywa na kichaa??
Wee punguani nini..??!
Yaani mkuu wa nchi unamuita kichaa? Kisa unatumia fake id?Nani anaweza kuiga yanayofanywa na kichaa??
Wee punguani nini..??!