Mkuu Chilonge, it's very true, kwa vile mimi ni mwandishi wa habari na muelimishaji umma, sisi waandishi wskongwe tuko kama madaktari, tunatoa prescriptions za dose tofauti tofauti kwa wagonjwa tofauti tofauti, hivyo na mimi mabandiko yangu ni kwa watu wa level tofauti tofauti, wale wadogo, na ma simple minds wana dose zao, wale wa kawaida, ordinary minds nao wana dose zao, na wale ma gt nao wana dose zao, ukiona nimebandika hoja ya ma gt, vile vi simple minds vinatukana, huwa navitupia tuu thanks na kuachana navyo.
P