Mkuu hapo kwenye IP nafikiri utakuwa umeteleza kinamna flani. Highly Virulent organisms hawawezi kuwa na Incubation Period ya up to 32 days. It’s less than that..!Incubation period ya coronavirus unaielewa? Ni kati ya siku 14 - 32. Italy na US iliingia mwezi January. Maafa ni sahizi. China ilianza mwezi December, maafa yalikuwa February. Afrika maambukizi yameanza March. Tusubiri tufike May, ndipo tuseme, tumebahatika. Na tumshukuru Mungu wetu kwa ulinzi wake. Sahizi ni mapema mno.
Mbona jana hukualikwa kunywa kahawa mkoani Rubondo chato?Endelea kuangalia news boss utawaona wanao muiga kichaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi tukiwa makini kwenye kuzuia maambukizi, tutavuka.
Mtu mwerevu hujifunza kutokana na makosa ya waliotangulia.
Kimsingi vigezo vinatolewa na wataalam kwa kuujua ugonjwa wenyewe vizuri na njia sahihi. Kwa sasa yote tunayoyafanya yameegemea taarifa zao.Naam, nimekupata vizuri.
Sasa labda kitu cha kufanya tuweke hivyo vigezo vya kuzuia ugonjwa, na vigezo hivyo tuvipigie assessment pia ya faida vs challenge za kuvifikia.
Naomba nianze na wewe, niambie tufanyaje.
Kama nchi itatuchukua siku 21 hadi 30 kujua ugonjwa umetapakaa au la ili tujisifu. Kumbuka wamarekani na nchi za ulaya imechukua mda tangu walipofanya evacuation ya watu wao toka uchina hadi ulipoanza kuwafanya Kama kuku wenye mdondo. Bado hatujavuka mto tusitukane mamba.Naunga mkono hoja, rais Magufuli ni shujaa.
Wakati nchi za wenzetu wanaona Corona kama ugonjwa hatari hivyo kufunga mipaka, kusimamisha shughuli zote na hadi kufanya lock down kwa kutegemea nguvu za binaadam, shujaa rais Magufuli ameishtukia Corona sio ugonjwa bali ni shetani limekuja kwa mfano wa ugonjwa hivyo alichofanya ni jambo dogo tuu, kulikabidhi kwa Mungu ambaye ni kiboko ya shetani.
Mungu ameisha tukingia mkono wake, Tanzania bado hakuna kifo wala maambukizi ya ndani kwa ndani, local transmissions. Hivyo tuungane na rais wetu Magufuli, tusitishane, na Watanzania tuendelee kuchapa kazi, kwenda Kanisani, msikitini na kichanga na watu kama kunywa kawawa mitaani kwa kukaribiana as if nothing happened huku tukichukua tahadhari kama tunavyoelekezwa na wataalamu iliwemo kunawa mikono kwa sabuni na maji tiririka.
P
Na kwa mfano tukiangamia kama Italy ataoekanaje?Nchi zote duniani zimechukua tahadhari kubwa kuhusiana na hili gonjwa la corona, kuna serikali zimefungia raia wake wasitoke nje ikiwemo nchi za Africa Isipokuwa Tanzania.
Kwa hakika hili la rais Magufuli kuruhusu shughuli ziendelee anapaswa kupongezwa na sio kubezwa, watanzania wengi ni masikini sana kipato chao kinategemea atoke arudi na chochote kumzuia akae ndani atakufa njaa.
Kwa kweli rais wetu ameona mbali kuruhusu shughuli ziendelee, cha muhimu ni sisi watanzania kumuunga mkono kwa kuuchukua tahadhari zote tuwapo kwenye shughuli zetu, na kwa hakika baada ya hili janga rais Magufuli ataonekana shujaa hasa katika ukanda wetu huu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ugonjwa huu sio kama unavyopambwa huku kwetu AfticaIla nimejaribu kutembea huko mitaani Yan wananchi hawajali kabisa kuhusu huu ugonjwa. Hakuna tahadhari yoyote wanayoichukua ndio Kwanza wapo busy na mambo yao bila tahadhari yoyote,
napata shaka endapo ugonjwa huu utaingia mitaani kwa lugha nyingine uswazi tutamdisapppoint rais wetu, maana kwa mtindo huu wa maisha maambukiz yatakuwa kwa kiwango Cha juu sana ambacho akijawahi shuhudiwa tokea janga hili limeikumba Dunia hii.
Hajaenda kwa wanaotoka huko?Pascal Mayalla,
Mtoto wa Mbowe ameyapatia Italy?
Sikupingi ✔️✔️✔️Nchi zote duniani zimechukua tahadhari kubwa kuhusiana na hili gonjwa la corona, kuna serikali zimefungia raia wake wasitoke nje ikiwemo nchi za Africa Isipokuwa Tanzania.
Kwa hakika hili la rais Magufuli kuruhusu shughuli ziendelee anapaswa kupongezwa na sio kubezwa, watanzania wengi ni masikini sana kipato chao kinategemea atoke arudi na chochote kumzuia akae ndani atakufa njaa.
Kwa kweli rais wetu ameona mbali kuruhusu shughuli ziendelee, cha muhimu ni sisi watanzania kumuunga mkono kwa kuuchukua tahadhari zote tuwapo kwenye shughuli zetu, na kwa hakika baada ya hili janga rais Magufuli ataonekana shujaa hasa katika ukanda wetu huu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania inazungukwa na nchi kama saba hivi,kama nchi hizo zote zimefunga mipaka yake maana yake hakuna raia wa nje anayeingia tz wala kutoka tz maana majirani wamefunga mipaka yao,tunachokifanya ni kuacha wananchi wetu waendelee na shughuli zao kama kawaida kule kwenye viwanja vya ndege tuna dhibiti kwa kuwapima na kukaa karantini kwa siku 14 baadae maisha yanaendelea bila kuathiri waliomo ndani.ndo maana mpaka sasa maambukizi ni kidogo sana tzNaunga mkono hoja, rais Magufuli ni shujaa.