Kwa hili la Corona, Magufuli anaenda kuonekana shujaa

Kuwa na akiba ya upande wa pili.. wagonjwa washaongezeka 19,

ikiingia mtaani rasmi tutataftana mbona... utatamani kufuta na hii sredi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania imejaza wapuuzi wengi sana sana sijapata kuona! Siku mkianza kufa kama kuku mje kuendelea kusifia ujinga huu. Badala ya kuchukua precautions mnatumia ugonjwa kujimwambafy, Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
 


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Mungu aliye kufanya upone kwenye ajali yako umeshindwa kushukuru kwenye media.

Nilitaka utamke kuwa asante magufuli kwa kunisave maisha yangu.

mr mkiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaelewa kweli kinachoendelea kuhusu ugonjwa huu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
akili ndogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna nchi hazikusimamisha shughuli zao kama Singapore, S. Korea, Uingereza, Italy na Marekani mwanzoni.
Tatu kati ya hizi zilikuwa tu zinawacontain waathirika kama tunavyofanya sasa and nothing more. Baadaye umetokea mlipuko mkubwa ambao wameshindwa kuwacontain. Na wote wamezuia shughuli za watu sasa.

S.Korea waliwa isolate na kuwafuatilia contacts na kupima watu wengi. Wamefanikiwa kudhibiti.

Singapore walianza mapema udhibiti wa hali ya juu. Hadi wametengeneza apps kwa ajili ya kufuatilia watu.

Sasa sisi mode tunayofuata ni hii ya waloshindwa. Itakuwa bahati sana tukifanikiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bogus kabisa. Angeweka (Lockdown) pia bado mngemsifia, angecharaza watu viboko napo mngemshambulia kwa kumsifu left, right and center.

To you people, he is an infallible emperor and he plays the role of an avuncular to everyone of you to the effect that whatever he does is a divine sacrosanct.

You're very blasphemous in that in some countries you could be lined up ready to face the firing squad for adoring an ordinary mortal than Almighty God.
 
italy ndio makazi ya papa na makao makuu ya dhehebu kubwa la kikristo....sijui Kama wao awasali au hawana imani. Let's not take things easy tusipongeze hayo maamuzi tumuombe tu mungu aisee...hakuna nchi ya shetani hapa duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwezi mmoja tu uliopita Italy walisema hivi unavyosema. Weka akiba ya maneno kaka, mlipuko ukitokea humu tusije tukageukana. Tungojee kidogo muda utoe majibu ndipo tuseme kama jamaa ni shujaa ama vipi.
 
Muda utaongea tuu?? Usichanganye mambo ya kitabibu na shetani mbona wagonjwa awajapelekwa nyumba za ibada kuombewa.
 
Ningeshangaa kama usinge unga mkono

In God we Trust
 
Siku watu walianza kufa kama kuku wenye kideli ukumbuke kurudi kwenye uzi wako kutoa pongezi kwa hatua zilizochukuliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…