Sasa, ni rasimi na niko tayari kutumikia siasa za upinzani kwa nguvu zangu zote na kwa mali zangu zote, huku nikiwaelimisha watanzania jinsi wanavyouzwa na kurudishwa utumwani kwa tamaa za viongozi walafi na wasiotosheka na kile walichonacho kutoka CCM.
Chama kinachoitwa ccm ali maarufu kama chama cha mafisadi, hakiwezi tena na hawana uwezo wowote wa kuwaongoza watanzania zaidi ya kuuza na kubinafisisha rasilimali za nchi yetu na kisha kupeana 10%
Mtanzania mwenzangu, nchi yetu ni hii hii moja, hatuna nyingine na ndiyo hii hii inayogawiwa warabu bila ukomo wa mikataba, na hii maana yake ni moja tu, ni sisi kufanywa kuwa koloni la kiarabu
Wakati umefika, tuseme basi,
Ondoa hofu, komboa nchi yako!
Mimi niko tayari kuamsha amsha watanzania kwa Kampeni za mtu kwa mtu ili watanzania waone madhara ya kukosa Bandari zao milele