Kwa hili la homa ya Ini, Serikali haiko makini na afya za raia wake. Raia wote wangepatiwa chanjo bure

Umeandika nini sasa!

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naogopa huu ugonjwa kuliko ukimwi

Jr[emoji769]
 
Gharama kiasi gani kupata chanjo. Na ni mara ngapi kwa interval ipi. Si shabiki wa kina rough rider mimi
 
mbaya zaidi serikali haiupi umuhimu mkubwa


Jr[emoji769]
kabisa mkuu, serikali haiupi umuhimu mkubwa ndhani wanasubiri msaada wa watu wa marekani wawashike mkono
 
naomba kujua chanzo cha huu ugonjwa, njia zipi unaweza ambukizwa, pili garama za chanjo, na garama za matibabu. Asante.
 
Hivi chanzo cha ugonjwa wa INI ni nini ? Na kama ni biologically invented ni ngumu mno kupewa chanjo bure . Hii ni kwa sababu ;

Lengo la mabeberu ni ku -depopulate Africa na Kuidumaza ama kumilikiwa kiuchumi . Sasa swali linakuja uwezo wa kuitengeneza hiyo chanjo huna ni kwa vipi upewe bure ? (Yaani mbeberu kukupa chanjo bure ni ngumu labda hiyo chanjo iwe na uwezo wa kukuuza tatizo ama kusababisha tatizo lingine .

There are things in this world you won't change , it could be operating like it has been planned .

Na kumbuka nzige wanakuja kwa kasi sana , watasababisha balaa la njaa haijawahitokea . Yaani Third World Countries tumlilie Mungu tu .

TAKE CARE OF YOURSELF MY DEAR OTHERWISE YOU COULD DIE LIKE ABANDONNED ANIMAL .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hapa sizungumzii mabeberu mkuu tusiwabebeshe lawama, serikali igharamie kwa afya za raia wake
ningetegemea hata matibabu yawe ndani ya bima ya afya, ila mabeberu weusi wameondoa hili nalo unataka kuwapa lawama mabeberu weupe?
 
Wanataka tufe wabaki wao na familia zao tu. 😤
 
Iongeze vituo maana kwa sasa inatolewa hospitali za rufaa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…