Umeandika nini sasa!Unategemea serikali ikupe chanjo? Tena bure? Embu acheni utani. Mjue hata hizo campaign za kuhamasisha na kuelemisha kuhusu ukimwi. Dawa za ARV, vipimo vya Viral load etc vyote ni kwa msaada wa watu marekani na mashirika mengine. Ukikaa kutegemea serikali hata malaria itatuua na kutumaliza wote.
Wao wanajua kujilipa mishahara na posho etc wananchi haiwajali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitajiandikisha bila shaka! Nasubiri mashine ziletwe huku kwetu.kajiandikishe bhana upige kura
aiseeeeInatolewa kwa watoto bure. Nyie wakubwa mfanye kusave hela za bia mkachome chanjo hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
ni hatari sana mkuu
hapa sizungumzii mabeberu mkuu tusiwabebeshe lawama, serikali igharamie kwa afya za raia wakeHivi chanzo cha ugonjwa wa INI ni nini ? Na kama ni biologically invented ni ngumu mno kupewa chanjo bure . Hii ni kwa sababu ;
Lengo la mabeberu ni ku -depopulate Africa na Kuidumaza ama kumilikiwa kiuchumi . Sasa swali linakuja uwezo wa kuitengeneza hiyo chanjo huna ni kwa vipi upewe bure ? (Yaani mbeberu kukupa chanjo bure ni ngumu labda hiyo chanjo iwe na uwezo wa kukuuza tatizo ama kusababisha tatizo lingine .
There are things in this world you won't change , it could be operating like it has been planned .
Na kumbuka nzige wanakuja kwa kasi sana , watasababisha balaa la njaa haijawahitokea . Yaani Third World Countries tumlilie Mungu tu .
TAKE CARE OF YOURSELF MY DEAR OTHERWISE YOU COULD DIE LIKE ABANDONNED ANIMAL .
Sent using Jamii Forums mobile app
Iongeze vituo maana kwa sasa inatolewa hospitali za rufaa tuUnategemea serikali ikupe chanjo? Tena bure? Embu acheni utani. Mjue hata hizo campaign za kuhamasisha na kuelemisha kuhusu ukimwi. Dawa za ARV, vipimo vya Viral load etc vyote ni kwa msaada wa watu marekani na mashirika mengine. Ukikaa kutegemea serikali hata malaria itatuua na kutumaliza wote.
Wao wanajua kujilipa mishahara na posho etc wananchi haiwajali.
Sent using Jamii Forums mobile app
aiseeeHeri unyamaze uache kukosoa usije shangaa ukiambiwa umehujumu jitihada za serikali kusaidia raia wake.
Sent using Jamii Forums mobile app