makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Lau km nisingekuta umesitisha muamala ningekuona bonge la fala, umefanya la maana saana kusitisha muamala.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe wewe ni dume?Jusi nimemnunulia single mama mmoja viatu vya mwanae hata kusema Asante huksema nilitamani ningie chumbani nivitoe hvyo viatu nirudi navyo
Leo ananipigiaa simu pezaza birthday na gauni
Nimemuambia nitamtumia
🙄🙄Josefu upo?
Ukiona hivyo huyo demu ni MKALI SANA/ chumaIliniumiza sana msichana tumeanza naye mahusiano siku tatu tu akaniambia ana changamoto anahitaji tsh 150,000. Nikamwambia sina yote nina Tsh 100,000 nikamtumia. Hakusema hata amepokea, akanyamaza tu.
Ikabidi nimpigie simu kujua kama amepokea au laah, akapokea simu nikamuuliza "umeona kuna pesa kidogo nimekutumia Tsh. 100,000", akasema "Nimeona." Nikasubiri hata aseme asante hakusema, akaniambia, "Nipo natafuta hiyo 50,000 kwa rafiki zangu waniongezee maana nilitaka tsh 150,000 na nilikuambia hivyo."
Nikasema sawa nisamehe sikuwa nayo yote, akanijibu "Basi baadaye." Nikaingia kwenye menu yangu ya Tigo Pesa nikaomba kuirudisha ile pesa, nashukuru haikuchelewa sana ikarudishwa, nikamshukuru Mungu.
Nikamtumia mama yangu Tsh. 20,000 nikanyamaza. Akapiga simu dk hiyo hiyo akishukuru sana na kunitakia mibaraka mingi mingi, nikamwambia mama hiyo kidogo, akasema hapana hakuna pesa kidogo, akashukuru na kuniombea pale nilipopungua parudishwe.
Basi alivyokata tu simu nikammalizia na ile nyingine 80,000, akanipigia simu tena this time nikamwambia mama naingia kwenye kikao, nashukuru Mungu akubariki.
Niliona angenishukuru sana mpaka nakuwa najisikia vibaya. Siku zote mama yangu yupo hivyo umtumie 10,000 ya voucher umtumie 200,000 ya matumizi shukrani zake zipo pale pale. Nikawaza sana kuwa hawa wanawake wa sasa hivi wanakwama wapi kuwa that much cold?
Yule msichana mpumbavu akanipigia simu kuwa mbona tena ile pesa nimeichukua, nikamwambia niliona ni ndogo sana nimeichukua nimemtumia mama, yeye asubiri nikipata nyingi nitamtumia, nikakata simu.
Mpaka leo hatuna tena mawasiliano, nime-mblock.
Jusi nimemnunulia single mama mmoja viatu vya mwanae hata kusema Asante huksema nilitamani ningie chumbani nivitoe hvyo viatu nirudi navyo
Leo ananipigiaa simu pezaza birthday na gauni
Nimemuambia nitamtumia
Vizuri sana mkuu
Wazazi kwanza
🤣🤣🤣🤣🤣 Aisee wanawake maskin tabu sana wana maneno ya shombo acha tuu tuendelee na nyetoSubiri waje wakuambie ukiwa na genye pia nenda kwa mama yako
nimecheka sana. Eti mchwa. Lakini ni kweli bwana wanatabia za mchwa kabisa!Kwani we mgeni hapa mjini na huwajui mchwa?
Its not about girlfriend.. its about gratitude you dumb ass..Ati mama yako awe girlfriend wako?
F you. Umekuja umekurupuka baada ya kukuta uzi umebadilishwa title na content. MfyuuuuIts not about girlfriend.. its about gratitude you dumb ass..
Wanawake wa aina yenu huwaga ni washenzi washenzi ambao hamtakiwi kuhurumiwa hata kidogo kunapokua na chance
Safi kabisa bora tuwape pesa watu walioangaika na sisi sio hawa vipepeIliniumiza sana msichana tumeanza naye mahusiano siku tatu tu akaniambia ana changamoto anahitaji tsh 150,000. Nikamwambia sina yote nina Tsh 100,000 nikamtumia. Hakusema hata amepokea, akanyamaza tu.
Ikabidi nimpigie simu kujua kama amepokea au laah, akapokea simu nikamuuliza "umeona kuna pesa kidogo nimekutumia Tsh. 100,000", akasema "Nimeona." Nikasubiri hata aseme asante hakusema, akaniambia, "Nipo natafuta hiyo 50,000 kwa rafiki zangu waniongezee maana nilitaka tsh 150,000 na nilikuambia hivyo."
Nikasema sawa nisamehe sikuwa nayo yote, akanijibu "Basi baadaye." Nikaingia kwenye menu yangu ya Tigo Pesa nikaomba kuirudisha ile pesa, nashukuru haikuchelewa sana ikarudishwa, nikamshukuru Mungu.
Nikamtumia mama yangu Tsh. 20,000 nikanyamaza. Akapiga simu dk hiyo hiyo akishukuru sana na kunitakia mibaraka mingi mingi, nikamwambia mama hiyo kidogo, akasema hapana hakuna pesa kidogo, akashukuru na kuniombea pale nilipopungua parudishwe.
Basi alivyokata tu simu nikammalizia na ile nyingine 80,000, akanipigia simu tena this time nikamwambia mama naingia kwenye kikao, nashukuru Mungu akubariki.
Niliona angenishukuru sana mpaka nakuwa najisikia vibaya. Siku zote mama yangu yupo hivyo umtumie 10,000 ya voucher umtumie 200,000 ya matumizi shukrani zake zipo pale pale. Nikawaza sana kuwa hawa wanawake wa sasa hivi wanakwama wapi kuwa that much cold?
Yule msichana mpumbavu akanipigia simu kuwa mbona tena ile pesa nimeichukua, nikamwambia niliona ni ndogo sana nimeichukua nimemtumia mama, yeye asubiri nikipata nyingi nitamtumia, nikakata simu.
Mpaka leo hatuna tena mawasiliano, nime-mblock.
Kabisa mwambakuna muda bora uinjoy maisha yako na mtu anaeonesha kukuthamini.
Ndio mkuu hakuna kula hasara kote kote.Kabisa mwamba
Umeongea kwa hasira sana.Hiki Kizazi cha Vijana waliolelewa na SINGLE MOTHERS ni shida. Enyi kina dada ulizeni kwanza kabla ya kuingia kwenye mahusiano. Kijana wa Kiume aliyelelewa na Single Mother ni kimeo sana, wameanza ooooh kataa Ndoa ili muishi kama mama zao. Mwingine ooooh mama awe girlfriend wangu. Hiii mitoto ni shida tupu