Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Blaza unajua maana ya girlfriend?[emoji2369]Iliniumiza sana msichana tumeanza naye mahusiano siku tatu tu akaniambia ana changamoto anahitaji tsh 150,000. Nikamwambia sina yote nina tsh 100,000 nikamtumia. hakusema hata amepokea. akanyamaza tu. ikabidi nimpigie simu kujua kama amepokea au laah. akapokea simu nikamuuliza
"umeona kuna pesa kidogo nimekutumia tsh 100,000". akasema
"nimeona."
nikasubiri hata aseme asante hakusema. akaniambia
" nipo natafuta hiyo 50,000 kwa rafiki zangu waniongezee maana nilitaka tsh 150,000 na nilikuambia hivyo"
Nikasema sawa nisamehe sikuwa nayo yote.akanijibu "basi baadaye"
Nikaingia kwenye menu yangu ya tigo pesa nikaomba kuirudisha ile pesa. nashukuru haikuchelewa sana ikarudishwa. nikamshukuru Mungu.
Nikamtumia mama yangu tsh 20,000. Nikanyamaza. akapiga simu dk hiyo hiyo akishukuru sana na kunitakia mibaraka mingi mingi, nikamwambia mama hiyo kidogo. akasema hapana. hakuna pesa kidogo. akashukuru na kuniombea pale nilipopungua parudishwe. Basi alivyokata tu simu nikammalizia na ile nyingine 80,000. akanipigia simu tena this time nikamwambia mama naingia kwenye kikao. nashukuru Mungu akubariki.
Niliona angenishukuru sana mpaka nakuwa najisikia vibaya. siku zote mama yangu yupo hivyo umtumie 10,000 ya voucher umtumie 200,000 ya matumizi shukrani zake zipo pale pale. nikawaza sana kuwa hawa wanawake wa sasa hivi wanakwama wapi kuwa that much cold?
Yule msichana mpumbavu akanipigia simu kuwa mbona tena ile pesa nimeichukua. nikamwambia niliona ni ndogo sana nimeichukua nimemtumia mama yeye asubiri nikipata nyingi nitamtumia. nikakata simu. mpaka leo hatuna tena mawasiliano. nime mblock.
umeupiga mwingiIliniumiza sana msichana tumeanza naye mahusiano siku tatu tu akaniambia ana changamoto anahitaji tsh 150,000. Nikamwambia sina yote nina tsh 100,000 nikamtumia. hakusema hata amepokea. akanyamaza tu. ikabidi nimpigie simu kujua kama amepokea au laah. akapokea simu nikamuuliza
"umeona kuna pesa kidogo nimekutumia tsh 100,000". akasema
"nimeona."
nikasubiri hata aseme asante hakusema. akaniambia
" nipo natafuta hiyo 50,000 kwa rafiki zangu waniongezee maana nilitaka tsh 150,000 na nilikuambia hivyo"
Nikasema sawa nisamehe sikuwa nayo yote.akanijibu "basi baadaye"
Nikaingia kwenye menu yangu ya tigo pesa nikaomba kuirudisha ile pesa. nashukuru haikuchelewa sana ikarudishwa. nikamshukuru Mungu.
Nikamtumia mama yangu tsh 20,000. Nikanyamaza. akapiga simu dk hiyo hiyo akishukuru sana na kunitakia mibaraka mingi mingi, nikamwambia mama hiyo kidogo. akasema hapana. hakuna pesa kidogo. akashukuru na kuniombea pale nilipopungua parudishwe. Basi alivyokata tu simu nikammalizia na ile nyingine 80,000. akanipigia simu tena this time nikamwambia mama naingia kwenye kikao. nashukuru Mungu akubariki.
Niliona angenishukuru sana mpaka nakuwa najisikia vibaya. siku zote mama yangu yupo hivyo umtumie 10,000 ya voucher umtumie 200,000 ya matumizi shukrani zake zipo pale pale. nikawaza sana kuwa hawa wanawake wa sasa hivi wanakwama wapi kuwa that much cold?
Yule msichana mpumbavu akanipigia simu kuwa mbona tena ile pesa nimeichukua. nikamwambia niliona ni ndogo sana nimeichukua nimemtumia mama yeye asubiri nikipata nyingi nitamtumia. nikakata simu. mpaka leo hatuna tena mawasiliano. nime mblock.
Pole sana. Huyo mtu wakati ujao mfungie vioo kama humjui vile labda atajifunza.Hawa ndugu zetu hawana shukrani sana.
Jana ilikuwa mahafari ya chuo kimoja hapa Tz.
Kuna dada alinialika kwenye mahafari hayo, bila hiyana nikaenda kumpa kampani maana sio baba yake wala ndugu yake yeyote aliyeweza kufika.
Niko eneo la tukio namuulekeza nilipo mtu hatokei, nilikaa almost dk 15 sehem hiyohiyo anaesema yeye yupo hatokei.
Badae ananiambia ooh nimeona mvua imeanza so niko sehem fulan, mimi hapo nime mind kinoma nacheki tu video za tiktok kupunguza jazba.
Tukaja kuonana, tukaongea yakaisha. Jioni nikasema naenda kumpa company, imefika night niko kwenye boda namwambia nakuja ananiambia yeye na mwenzie anaenda kula hawezi kumuacha mwenzie akale pekeyake sabab mwenzie hajazoea kula peke yake, NONSENSE hivi kuna mtu kweli njaa ikimpiga hawez kula hadi awe na company,
Nikamwambia poa ila mimi nishafika ulipofikia akasema basi niwasubiri wakafate msosi, nikajiuliza hivi kwann asiende mmoja mwingine abaki namimi mgeni kuliko kuniacha nje napigwa na mvua.
Nikamwambia kama vipi weken vitu vyenu fresh mimi nichill room nyie mtanikuta, oooh tumeshaondoka tunarudi sasa hivi ,tunafata tu msosi tunakuja kulia room, nikasema sawa.
Nimekaa pale kuondoka nashindwa mvua inapiga inaacha inapiga inaacha, boda hazipiti.
Nimekaa almost nusu saa hawajarudi, simu ina asilimia 2 nikamtext mimi nasep tutaonana wakat mwingine.
Nikaweka flight mode nikaenda kuloa na mvua.
Badae natoa flight mode, nakutana na sms nyingi za samahani sana najua sijafanya vizuri, nikamwambia yameisha kuwa na amani
Nikajiuliza maswali huyu dogo kanionaje nimeacha issue zangu mob, kwenda kumpa company asiijisikie mnyonge yeye ananiweka nje napigwa na mvua wakati angeweza kuniachia key ya room yake.
Kama issue ni msosi angeenda mmoja na boda nibaki na mwingie mgeni nisiwe mjonge.
Nikaona hawa watu akili zao finyu sana.
Nimeapa siji rudia tena kujikuta baba huruma
ShukraniSafi
Achana nae...kuna wenzie kibao wanaota kuwa na mtu wa kuwapa hiyo lakiaiseeee....nimeshangaa sana. yeye ameona kama haitoshi. nimesikitika pia kwa uelewa wake mdogo
Mama yako ni bebi wa mtu Chief watch outIliniumiza sana msichana tumeanza naye mahusiano siku tatu tu akaniambia ana changamoto anahitaji tsh 150,000. Nikamwambia sina yote nina tsh 100,000 nikamtumia. hakusema hata amepokea. akanyamaza tu. ikabidi nimpigie simu kujua kama amepokea au laah. akapokea simu nikamuuliza
"umeona kuna pesa kidogo nimekutumia tsh 100,000". akasema
"nimeona."
nikasubiri hata aseme asante hakusema. akaniambia
" nipo natafuta hiyo 50,000 kwa rafiki zangu waniongezee maana nilitaka tsh 150,000 na nilikuambia hivyo"
Nikasema sawa nisamehe sikuwa nayo yote.akanijibu "basi baadaye"
Nikaingia kwenye menu yangu ya tigo pesa nikaomba kuirudisha ile pesa. nashukuru haikuchelewa sana ikarudishwa. nikamshukuru Mungu.
Nikamtumia mama yangu tsh 20,000. Nikanyamaza. akapiga simu dk hiyo hiyo akishukuru sana na kunitakia mibaraka mingi mingi, nikamwambia mama hiyo kidogo. akasema hapana. hakuna pesa kidogo. akashukuru na kuniombea pale nilipopungua parudishwe. Basi alivyokata tu simu nikammalizia na ile nyingine 80,000. akanipigia simu tena this time nikamwambia mama naingia kwenye kikao. nashukuru Mungu akubariki.
Niliona angenishukuru sana mpaka nakuwa najisikia vibaya. siku zote mama yangu yupo hivyo umtumie 10,000 ya voucher umtumie 200,000 ya matumizi shukrani zake zipo pale pale. nikawaza sana kuwa hawa wanawake wa sasa hivi wanakwama wapi kuwa that much cold?
Yule msichana mpumbavu akanipigia simu kuwa mbona tena ile pesa nimeichukua. nikamwambia niliona ni ndogo sana nimeichukua nimemtumia mama yeye asubiri nikipata nyingi nitamtumia. nikakata simu. mpaka leo hatuna tena mawasiliano. nime mblock.
Kwani hao wanawake wamesema wanataka hiyo heshima....? Heshima haiombwiJifunze kuwaheshimu Wanawake we kiazi, Vaa sura na Moyo wa kiume pamoja na kwamba umelelewa na Mama punguza Umayai mayai na kulia lia kila wakati mamaaaa!
Tatizo mitoto dizaini yako hamkomi kuwaonyesha dushe mama zenu kisa tu mlilelewa kindezi, hata demu akizingua unamweleza mama. Be strong Acha umama
Dada naona umekasirika sana. Sijajua nini kimekuumiza hivi. Pole lakini.Jifunze kuwaheshimu Wanawake we kiazi, Vaa sura na Moyo wa kiume pamoja na kwamba umelelewa na Mama punguza Umayai mayai na kulia lia kila wakati mamaaaa!
Tatizo mitoto dizaini yako hamkomi kuwaonyesha dushe mama zenu kisa tu mlilelewa kindezi, hata demu akizingua unamweleza mama. Be strong Acha umama
SAHIHISHA KICHWA CHA HABARIIliniumiza sana msichana tumeanza naye mahusiano siku tatu tu akaniambia ana changamoto anahitaji tsh 150,000. Nikamwambia sina yote nina tsh 100,000 nikamtumia. hakusema hata amepokea. akanyamaza tu. ikabidi nimpigie simu kujua kama amepokea au laah. akapokea simu nikamuuliza
"umeona kuna pesa kidogo nimekutumia tsh 100,000". akasema
"nimeona."
nikasubiri hata aseme asante hakusema. akaniambia
" nipo natafuta hiyo 50,000 kwa rafiki zangu waniongezee maana nilitaka tsh 150,000 na nilikuambia hivyo"
Nikasema sawa nisamehe sikuwa nayo yote.akanijibu "basi baadaye"
Nikaingia kwenye menu yangu ya tigo pesa nikaomba kuirudisha ile pesa. nashukuru haikuchelewa sana ikarudishwa. nikamshukuru Mungu.
Nikamtumia mama yangu tsh 20,000. Nikanyamaza. akapiga simu dk hiyo hiyo akishukuru sana na kunitakia mibaraka mingi mingi, nikamwambia mama hiyo kidogo. akasema hapana. hakuna pesa kidogo. akashukuru na kuniombea pale nilipopungua parudishwe. Basi alivyokata tu simu nikammalizia na ile nyingine 80,000. akanipigia simu tena this time nikamwambia mama naingia kwenye kikao. nashukuru Mungu akubariki.
Niliona angenishukuru sana mpaka nakuwa najisikia vibaya. siku zote mama yangu yupo hivyo umtumie 10,000 ya voucher umtumie 200,000 ya matumizi shukrani zake zipo pale pale. nikawaza sana kuwa hawa wanawake wa sasa hivi wanakwama wapi kuwa that much cold?
Yule msichana mpumbavu akanipigia simu kuwa mbona tena ile pesa nimeichukua. nikamwambia niliona ni ndogo sana nimeichukua nimemtumia mama yeye asubiri nikipata nyingi nitamtumia. nikakata simu. mpaka leo hatuna tena mawasiliano. nime mblock.
mwambieuTELEZI
subiri ombaomba waje wakushambulie
Lete Maneno.....Ati mama yako awe girlfriend wako?
Wanawake wengi hasa wa miaka hii hawana akili kabisa. Yaani wana take vitu for granted sana. Sijui umeendelea naye au ndo uliachana naye.Hawa ndugu zetu hawana shukrani sana.
Jana ilikuwa mahafari ya chuo kimoja hapa Tz.
Kuna dada alinialika kwenye mahafari hayo, bila hiyana nikaenda kumpa kampani maana sio baba yake wala ndugu yake yeyote aliyeweza kufika.
Niko eneo la tukio namuulekeza nilipo mtu hatokei, nilikaa almost dk 15 sehem hiyohiyo anaesema yeye yupo hatokei.
Badae ananiambia ooh nimeona mvua imeanza so niko sehem fulan, mimi hapo nime mind kinoma nacheki tu video za tiktok kupunguza jazba.
Tukaja kuonana, tukaongea yakaisha. Jioni nikasema naenda kumpa company, imefika night niko kwenye boda namwambia nakuja ananiambia yeye na mwenzie anaenda kula hawezi kumuacha mwenzie akale pekeyake sabab mwenzie hajazoea kula peke yake, NONSENSE hivi kuna mtu kweli njaa ikimpiga hawez kula hadi awe na company,
Nikamwambia poa ila mimi nishafika ulipofikia akasema basi niwasubiri wakafate msosi, nikajiuliza hivi kwann asiende mmoja mwingine abaki namimi mgeni kuliko kuniacha nje napigwa na mvua.
Nikamwambia kama vipi weken vitu vyenu fresh mimi nichill room nyie mtanikuta, oooh tumeshaondoka tunarudi sasa hivi ,tunafata tu msosi tunakuja kulia room, nikasema sawa.
Nimekaa pale kuondoka nashindwa mvua inapiga inaacha inapiga inaacha, boda hazipiti.
Nimekaa almost nusu saa hawajarudi, simu ina asilimia 2 nikamtext mimi nasep tutaonana wakat mwingine.
Nikaweka flight mode nikaenda kuloa na mvua.
Badae natoa flight mode, nakutana na sms nyingi za samahani sana najua sijafanya vizuri, nikamwambia yameisha kuwa na amani
Nikajiuliza maswali huyu dogo kanionaje nimeacha issue zangu mob, kwenda kumpa company asiijisikie mnyonge yeye ananiweka nje napigwa na mvua wakati angeweza kuniachia key ya room yake.
Kama issue ni msosi angeenda mmoja na boda nibaki na mwingie mgeni nisiwe mjonge.
Nikaona hawa watu akili zao finyu sana.
Nimeapa siji rudia tena kujikuta baba huruma
Namimi nasema hongereni sana ninyi Wazee...ndoa zenu zilikuwa ndoa kweli,wengine hapa hatujafunga ndoa lakini tayari tunafikiria mara mbili mbili hata baaada ya kutoa mahariYaani ungekuwa jirani yangu ningekupa hi 10. Yaani magold digger. Tena laki hashukuru? Mungu alikulinda uachane naye mapema kabisa. Poleni Sana vijana ambao bado hamjaoa ni mtihani Sana kumpata mwenza sahihi. Ndoa changa tunaona jinsi wanasumbuana mara tu baada ya ndoa. Wazee tumebaki kuwa wasuluhishi tu. Vijana wanatuchosha Sana.