Kwa hili la huyu mpenzi wangu acha pesa zangu ziishie kwa mama tu!

Blaza unajua maana ya girlfriend?[emoji2369]
 
umeupiga mwingi
 
Pole sana. Huyo mtu wakati ujao mfungie vioo kama humjui vile labda atajifunza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama yako ni bebi wa mtu Chief watch out
 
Kwani hao wanawake wamesema wanataka hiyo heshima....? Heshima haiombwi
 
Dada naona umekasirika sana. Sijajua nini kimekuumiza hivi. Pole lakini.
 
SAHIHISHA KICHWA CHA HABARI
 
Wanawake wengi hasa wa miaka hii hawana akili kabisa. Yaani wana take vitu for granted sana. Sijui umeendelea naye au ndo uliachana naye.
 
Namimi nasema hongereni sana ninyi Wazee...ndoa zenu zilikuwa ndoa kweli,wengine hapa hatujafunga ndoa lakini tayari tunafikiria mara mbili mbili hata baaada ya kutoa mahari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…