Ajabu ni kwamba barua walitakiw andika bodi ya ligi kutolea maelekezo ila ni tff ndio kaandika kutolea maelekezo [emoji23]
Yaani CEO wa klabu kubwa kama Simba anazuiliwa kuingia uwanjani kwa sababu amekuja na watoto. Seriously?
Ama mnalipiza kisasi kwa yeye kuomba mamlaka kuchunguza mkataba wa TFF na GSM ambao kila mtu anajua ni wa kimagumashi.
TAKUKURU waanze uchunguzi haraka sana maana hapa kuna jambo.
KARIA OUT NA TUMBO LAKE
Kwa hiyo hao watoto TFF walitaka waende wapi?CEO a Simba hakuzuiliwa. Ni watoto alioongozana nao ndo walizuiliwa. Akazira
Tumia ubongo kuwaza ww kolo, umekuja na hao watoto inabidi wakatiwe tickets za VVIP za ww unakoenda kukaa ndio uweze kuingia nao na sio kutumia special tickets za maofisa wa bodi na kamati tendaji kwa wale wattKwa hiyo hao watoto TFF walitaka waende wapi?
Wasije uwanjani?
Wasiingie kutazama mpira?
Hivi uwanjani siku hizi imekuwa ni cassino? Ama imekuwa night club?
Wamezingua sana.
Imagine mahaba yalivyo, hivi huyo kenge anaweza kukuelewa bila kutoka damu puani??Tumia ubongo kuwaza ww kolo, umekuja na hao watoto inabidi wakatiwe tickets za VVIP za ww unakoenda kukaa ndio uweze kuingia nao na sio kutumia special tickets za maofisa wa bodi na kamati tendaji kwa wale watt
Hatuwezi kufanya kama tupo Bar bila kufuata utaratibu
Mkuu issue za maumbile ni sensitive sana etyy?Hapa issue inatafutwa public sympathy kwasababu ni mwanamke,sasa hapo uchanganye ipokelewe na uongozi wa juu kabisa...kwenye issue za maumbile.
Kabisa mkuu.Na ndiyo maana yanabaka watoto kila wakatiMuafrika hajawahi kuwa fair kwa mtoto!!
Hivi hicho kichwa umepewa kufugia nywele au kubeba meno.Kwa hiyo hao watoto TFF walitaka waende wapi?
Wasije uwanjani?
Wasiingie kutazama mpira?
Hivi uwanjani siku hizi imekuwa ni cassino? Ama imekuwa night club?
Wamezingua sana.
Uyo mpumbavu usiendelee kumjibu utakuwa unapoteza mda wako bure, inaonekana akuna anachokijua zaidi ya ubishi wa kijinga, uyo babra kama amezoea kuwapanda kichwani uko simba aishie ukouko asiwe analeta mambo yake ya kipumbavu kwa watu wengine ataaibika vibaya, kwanza anaonekana ni mbinafsi izo kadi kwanini asingewapa viongozi wengine ndani ya simba mpaka akabeba watoto wake na ndugu zake wakati anajua kabisa awaruusiwi? Pale vvip Kama wanngeruusu viongozi waje na watoto na ndugu zao si ingekuwa fujo, alafu kanaambiwa ukweli kanakimbilia kujificha kwenye kichaka cha bifu la mkataba wa gsm na tff, akae akijua kwamba kila taasisi inao utaratibu wake wa kufanya kazi ajiheshimu na yeye ataeshimiwa!Hivi hicho kichwa umepewa kufugia nywele au kubeba meno.
Kwa nini mnajipendekeza kwa wahindi wakati wao wanawaona kama mbwa tu?
View attachment 2041064
Kwaiyo wangeacha ili muendelee kupotosha watu kuwa babra kaonewa sio, yeye mbona alikimbilia kwenye mitandao haraka haraka kupost utumbo wake? Basi na yeye angesubili akalalamika kesho alikuwa na nia gani?Barua wameandika haraka sana ila marefa wakiboronga kimya.Hili jambo dogo sana halikuwa na haja ya kuandika barua.Wenye hekima husema usifanye maamuzi ukiwa na hasira au furaha sana.