Kwa hili la kuzuiwa Barbara, Karia jiuzulu haraka

Kwa hili la kuzuiwa Barbara, Karia jiuzulu haraka

mulikatz

Member
Joined
Dec 11, 2021
Posts
18
Reaction score
16
Yaani CEO wa klabu kubwa kama Simba anazuiliwa kuingia uwanjani kwa sababu amekuja na watoto. Seriously?

Ama mnalipiza kisasi kwa yeye kuomba mamlaka kuchunguza mkataba wa TFF na GSM ambao kila mtu anajua ni wa kimagumashi.

TAKUKURU waanze uchunguzi haraka sana maana hapa kuna jambo.

KARIA OUT NA TUMBO LAKE
 
Ngoja mchakato wa kufukunyua mkataba wa janja janja uko mbioni watajiuzuru wakiwa mbele ya Takukuru.
 
CEO a Simba hakuzuiliwa. Ni watoto alioongozana nao ndo walizuiliwa. Akazira
Yaani CEO wa klabu kubwa kama Simba anazuiliwa kuingia uwanjani kwa sababu amekuja na watoto. Seriously?

Ama mnalipiza kisasi kwa yeye kuomba mamlaka kuchunguza mkataba wa TFF na GSM ambao kila mtu anajua ni wa kimagumashi.

TAKUKURU waanze uchunguzi haraka sana maana hapa kuna jambo.

KARIA OUT NA TUMBO LAKE
 
Kwa hiyo hao watoto TFF walitaka waende wapi?

Wasije uwanjani?

Wasiingie kutazama mpira?

Hivi uwanjani siku hizi imekuwa ni cassino? Ama imekuwa night club?

Wamezingua sana.
Tumia ubongo kuwaza ww kolo, umekuja na hao watoto inabidi wakatiwe tickets za VVIP za ww unakoenda kukaa ndio uweze kuingia nao na sio kutumia special tickets za maofisa wa bodi na kamati tendaji kwa wale watt

Hatuwezi kufanya kama tupo Bar bila kufuata utaratibu
 
Imagine mahaba yalivyo, hivi huyo kenge anaweza kukuelewa bila kutoka damu puani??
 
VVIP ni eneo maalumu kwa watu maalumu ingekua kila amwenye uwezo ana Kaa pale, unge shuudia watu wa kila namna. Lile eneo udhibiti wake uko chini ya FA, wao ndio wanao gawa ticket Tena kwa idadi maalumu. Sasa wewe ukichukua watotowako wakatie ticket za VIP, sio ticket za staff wa Timu na wanachama wenye sifa ukawape watoto wako Tena watatu waje kukaa eneo maalumu.
 
Kwa hiyo hao watoto TFF walitaka waende wapi?

Wasije uwanjani?

Wasiingie kutazama mpira?

Hivi uwanjani siku hizi imekuwa ni cassino? Ama imekuwa night club?

Wamezingua sana.
Hivi hicho kichwa umepewa kufugia nywele au kubeba meno.

Kwa nini mnajipendekeza kwa wahindi wakati wao wanawaona kama mbwa tu?

FB_IMG_1639242928972.jpg
 
Barua wameandika haraka sana ila marefa wakiboronga kimya.Hili jambo dogo sana halikuwa na haja ya kuandika barua.Wenye hekima husema usifanye maamuzi ukiwa na hasira au furaha sana.
 
Hivi hicho kichwa umepewa kufugia nywele au kubeba meno.

Kwa nini mnajipendekeza kwa wahindi wakati wao wanawaona kama mbwa tu?

View attachment 2041064
Uyo mpumbavu usiendelee kumjibu utakuwa unapoteza mda wako bure, inaonekana akuna anachokijua zaidi ya ubishi wa kijinga, uyo babra kama amezoea kuwapanda kichwani uko simba aishie ukouko asiwe analeta mambo yake ya kipumbavu kwa watu wengine ataaibika vibaya, kwanza anaonekana ni mbinafsi izo kadi kwanini asingewapa viongozi wengine ndani ya simba mpaka akabeba watoto wake na ndugu zake wakati anajua kabisa awaruusiwi? Pale vvip Kama wanngeruusu viongozi waje na watoto na ndugu zao si ingekuwa fujo, alafu kanaambiwa ukweli kanakimbilia kujificha kwenye kichaka cha bifu la mkataba wa gsm na tff, akae akijua kwamba kila taasisi inao utaratibu wake wa kufanya kazi ajiheshimu na yeye ataeshimiwa!
 
Barua wameandika haraka sana ila marefa wakiboronga kimya.Hili jambo dogo sana halikuwa na haja ya kuandika barua.Wenye hekima husema usifanye maamuzi ukiwa na hasira au furaha sana.
Kwaiyo wangeacha ili muendelee kupotosha watu kuwa babra kaonewa sio, yeye mbona alikimbilia kwenye mitandao haraka haraka kupost utumbo wake? Basi na yeye angesubili akalalamika kesho alikuwa na nia gani?
 
Back
Top Bottom