Nchi hii ina maujinga mengi eti zilikia kadi za watu walio alikwa yaani mwenyeji awe amealikwa..? Haki tunaongozwa na wajinga saana.Yaani CEO wa klabu kubwa kama Simba anazuiliwa kuingia uwanjani kwa sababu amekuja na watoto. Seriously?
Ama mnalipiza kisasi kwa yeye kuomba mamlaka kuchunguza mkataba wa TFF na GSM ambao kila mtu anajua ni wa kimagumashi.
TAKUKURU waanze uchunguzi haraka sana maana hapa kuna jambo.
KARIA OUT NA TUMBO LAKE
Kwan huyo dada hiyo kadi hajaisoma au kaisoma kafanya makusudi ili kuwatoa watu mchezoni, yaan kadi imeandikwa kabisa watoto hawaruhusiwi we unaenda na watoto ili iweje, afu mashabiki wa Simba wanavyoendeshwa kwa mihemko utaskia wanatetea, mnatetea nini sasa wakat kila kitu kipo wazi. Acheni kutetea ujinga bhana
Aya sawaWewe bwana tulia. Acha kutudanganya mkuu. Tifua tifua na bodi ya ligi ni 🚮🚮. Na ajabu ili ujue walipanga kumstopisha tu km kumkomoa angalia jambo la kujibiwa na bodi limejibiwa na tifua tifua. Karia ni hewa yule kule bodi jina nimemsahau ni mpumbavu
Hivi huyo Barbara ni Mtanzania?! Au Yuko sawa na Senzo? Haoni namna mwenzake Senzo asivyojiingiza kwenye Mambo ya siasa za soka za TZ?Yaani CEO wa klabu kubwa kama Simba anazuiliwa kuingia uwanjani kwa sababu amekuja na watoto. Seriously?
Ama mnalipiza kisasi kwa yeye kuomba mamlaka kuchunguza mkataba wa TFF na GSM ambao kila mtu anajua ni wa kimagumashi.
TAKUKURU waanze uchunguzi haraka sana maana hapa kuna jambo.
KARIA OUT NA TUMBO LAKE
Hivi kuna sababu gani za kuandika kuwa watoto hawaruhusiwi eneo lile inamana pale huwa wanafanya na ngono au halafu unamzuia mtu wa timu mwenyeji unamuingiza mtu mwingine ambaye hana hata kadi ya mwaliko
Makolo akili zao wameshikiwa.Hivi Karia ndiyo alimtuma huyo Babra aje na watu ambao sio maafisa wa club na kulazimisha waingie kwenye jukwaa maalum?
Aya sawa
Wajinga kama nyie ambao hamjui kutoa hoja ni wa kupuuzwa kabisa
Tickets za VVIP zinasema kabisa watoto hawaruhusiwiHoja ni nini mkuu..?
Watoto walizuiliwa kwa sababu za kiitifaki, zile kadi walizokuwa nazo ni za watu wenye mwaliko maalumu yaani unaweza kuzamia kwenye harusi kwa kadi ya mtu lakini usikubaliwe kwenda kukaa high table kwaiyo alichokifanya huyo CEO ni kujiaibisha mwenyewe kwa kutaka kufosi kwenda na watoto wake VVIP kwa kutumia kadi za watu wengine, hapo imetumika kanuni tu kumtoa kama yeye alivyotumia kanuni kukataa udhamini wa GSM😃😃 hapo ndio raha ya uswahiliKwa hiyo hao watoto TFF walitaka waende wapi?
Wasije uwanjani?
Wasiingie kutazama mpira?
Hivi uwanjani siku hizi imekuwa ni cassino? Ama imekuwa night club?
Wamezingua sana.
Utamfanyaje..?.na kajishaua kwa lipi..? Aisha mashauzi😂😂😂Huyu Bidada anapenda mashauzi Sana na kujifsnya anajua Sana kumbe hajui Kama hajui. Hipo siku ataingia kwenye 18 na atajuta.
Sasa wale watoto angewaacha waende wenyewe kule changanyikeni..? Watoto hawana haki ya kukaa sehemu nzuri..?Tickets za VVIP zinasema kabisa watoto hawaruhusiwi
CEO wenu analazimisha kuingia nao, maana yake nini?
Halafu mnakuja kutetea ujinga huku ww unaanza kufanya personal attack ya matusi ya viongozi wa shirikisho
Mbona maofisa wengine wa bodi na kamati tendaji hawakuja na watoto wao?
Yeye ni nani mpk avunje utaratibu uliowekwa?
Njoo na msaidizi wako, wakatie tickets za VIP A na watakaa hapo bila shida kabisa na uzuri jukwaa la VVIP na VIP A yapo karibu kabisaSasa wale watoto angewaacha waende wenyewe kule changanyikeni..? Watoto hawana haki ya kukaa sehemu nzuri..?
Kutokujua sheria hakukufanyi uvunje sheria.Kwa hiyo hao watoto TFF walitaka waende wapi?
Wasije uwanjani?
Wasiingie kutazama mpira?
Hivi uwanjani siku hizi imekuwa ni cassino? Ama imekuwa night club?
Wamezingua sana.