Kwa hili la kuzuiwa Barbara, Karia jiuzulu haraka

Kama kanuni inazuia watoto kuingia uwanjani sawa, lakini kama inawazuia tu kukaa eneo la vvip, ina dosari. Kuna siku ataingia mkuu zaidi ana kijukuu mtaumbuka.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Sasa huyo Demu wenu utamfananisha mkuu wa nchi

Ebu Pelekeni Uzezeta wenu kwa wahindi na hiyo timu yenu ya ukoo
 
Sasa mkuu kila mtu akija na mtoto wake pale eneo la VVIP si itakua kama changanyikeni.

Ile ni sehemu special kwa watu maalumu ndio maana kuna kadi kabisa.

Em assume kua Babra aje na watoto wake,Mo aje na watoto wake,Murtaza nae aje na watoto wake.
Nasikia alizidondisha kadi chini, naamini kadi za watoto alikuwa nazo.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Hawa makolo waache Uzezeta kwa wahindi wao, sasa kila ofisa wa bodi na kamati tendaji akija na watoto watatu akae nao jukwaa la VVIP, Je pata tosha kweli?

Tumieni akili kufikiria nyie
Uto huwa mnakurupuka kisha mmnakuja kuumbuka. Ni kawaida yenu. Hata ishu ya udhamini gsm mlishadadia sana ila Simba wakawaumbua baada ya mabango kutolewa uwanjani.... Barbara kawachezesha ngoma na mnacheza kwa biti lake
 
Sidhani kwamba Barbara alikua hajui hayo yametungwa tu baada ya kuona kawakalisha sheenzi. Hiyo inaitwa imetungwa sababu yakumzuia tu asiingie
 
Ikiwa wana tickets zao kwanini wakatazwe..? Watu wanatickets zao sio wavamizi una wazui ila.?
 
Sasa huyo Demu wenu utamfananisha mkuu wa nchi

Ebu Pelekeni Uzezeta wenu kwa wahindi na hiyo timu yenu ya ukoo
Unakazania kusema wahindi kwani GSM ni wa bantu..? Nyani.haoni.kundule kwa kweli
 
Uto huwa mnakurupuka kisha mmnakuja kuumbuka. Ni kawaida yenu. Hata ishu ya udhamini gsm mlishadadia sana ila Simba wakawaumbua baada ya mabango kutolewa uwanjani.... Barbara kawachezesha ngoma na mnacheza kwa biti lake
Aya sawa
 
Kadi inasema watoto hawaruhusiwi halafu unakuja nao, unaeleweshwa unatukana unatupa kadi! Huyu TFF wasimwache, hana nidhamu.
 
Kama kanuni inazuia watoto kuingia uwanjani sawa, lakini kama inawazuia tu kukaa eneo la vvip, ina dosari. Kuna siku ataingia mkuu zaidi ana kijukuu mtaumbuka.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Ndio maana nimesema kama kanuni hiyo ipo sawa, hatuna haja ya kuilaumu tff, lakini kama haipo hilo ni zengwe, na hata kama ipo ataenda kiongozi watamruhusu ukiwauliza ohoo , ni busara tu imetumika!!nchi nzito hii
 
Hivi kuna sababu gani za kuandika kuwa watoto hawaruhusiwi eneo lile inamana pale huwa wanafanya na ngono au halafu unamzuia mtu wa timu mwenyeji unamuingiza mtu mwingine ambaye hana hata kadi ya mwaliko
Tafuta kwanza maana ya VVIP ukipata utakuwa umejijibu hilo swali. Em nikupe hint kidogo, Rais wa nchi naye anakaaga hapo hapo VVIP. Kwa hiyo unaweza pata picha kwanini watoto huwa hawaruhusiwi VVIP.
 
Walikuwa na ticket za kupewa na watu ambao waliahirisha kuja, ni sawa na upewe ticket ya mtu mwingine, nawe uitumie kusafiria, kama ticket ni genuine, why wazuiwe?
 
Walikuwa na ticket za kupewa na watu ambao waliahirisha kuja, ni sawa na upewe ticket ya mtu mwingine, nawe uitumie kusafiria, kama ticket ni genuine, why wazuiwe?
Taratibu za VVIP zinasema hauruhusiwi kutumia tickets yenye jina la mtu mwingine, pia na watoto hawaruhusiwi kwenye jukwaa hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ