Kwa hili la Mbowe Marekani na Umoja wa Ulaya wamejitia aibu, ni rasmi sasa kuna kitu wanakitafuta Tanzania

Ukweli mchungu ambao CCM hawaujui kwa sababu ni mambumbumbu ni kwamba hata ninyi CCM hampo salama! Endeleeni kutengeneza na kupalilia serekali ya mkono wa chuma. Mtavuna mnachokipanda sooner rather than later!
Wafatilie kule rwanda waone kilichotokea. Marafiki zake na macomrade wa kagame mwishowe aliwafanya nini
 
mwenyekiti wa ccm mkoa wa ARUSHA alikuwa RPC kadi alichukua lini?
marehemu Agustine Ramadhani aligombea uraisi kwa tiketi ya ccm kadi alichukua lini?
kumbuka kauli za mkti wa UVCCM Taifa na yule wa iringa juu ya wapinzani hasa mbowe na zzk
kama hujaiba MITIHANI YAKO UTAELEWA MAANA YA POLICE KUAJIRIWA KWA KIGEZO CHA UREFU BADALA YA UFAULU
BAKI NA UJINGA WAKO MKUU CC CO WAJINGA KAMA WEWE UNAYEJIITA MZALENDO KWA KUVAA SCARF ZENYE BENDERA YA TAIFA
 
Wanakosaje upendo wakati kila kitu hadi bajeti yetu ni wao, miradi ni wao, utalii ni wao, n.k. Mnajifanya mnawachukia wakati juzi tu mmesema mnawaalika waje kutembelea mbuga zetu na mnaomba wawasamehe madeni. Aliyewatuma kwenda kukopa kwa mabeberu ni nani?
 
Nitaendelea kuamini taarifa za Marekani na Ulaya kuliko hizi za kupikwa
Na mimi nakuunga mkono. Nashangaa watu wanasema Jeshi la Polisi limetoa taarifa juu ya tukio la Mbowe. Taarifa ipi? Ina tofauti gani na hii tuliyopewa na Spika?
 
Watawala wetu ni wajanja sana. Wakitaka kuwaziba midomo wataalamu wetu, jambo likitokea tu wanakuwa wa kwanza kutoa maoni yao na utafiti wao, halafu ndipo wanatuma wataalamu wakafanye uchunguzi wakijua kabisa kwamba hakuna mtaalamu wa sekta yoyote atakuja na jibu tofauti na alichokisema bosi wao.
 
Mkuu @Retired,hao misukule ni kuachana nayo tu,akili zilishatolewa kitambo. Leo kuna watu wanafurahia kusamehewa kwa Andengenye,hao hao alipotumbuliwa walifurahia sana na kusema hatua kali zichukuliwe.
Sasa afanyae kitendo kama hicho ni binadamu timamu kweli!?
 
Bunge litaacha vipi kuongea sasa wakati tukio hilo linahusishwa na serikali kwa uzushi uzushi sasa kwanini bunge lisijadili wakati watu wanavumisha uzushi wa makusudi kuchafua nchi, tena mzushi mwenyewe ni mmoja kati ya wabunge wa bunge hilo hilo.
Bunge kazi yake ni kuitetea serikali!!?
Serikali haina watetezi!? Mazao ya mikesha ya mbio za mwenge ni hasara kubwa sana sana kwa Tanzania.
 
Mkuu @tindo,achana na misukule. Hawana a wala b walijualo.
 
Inatakiwa tudundane mpaka tuheshimiane kama Kenya maana mataga ya Lumumba yanaleta upuuxi hapa nchini
 
Dam55, Wamejitahidi kumtetea mwamba lakini wapi!

Ukitaka kumdharau mtu, unamwacha tu anajiropokeaaa wewe unaendelea na kazi,

Hawa wathungu wapuuzwe kama Vyama vinavyojipendekeza kwao vinavyozidi kupuuzwa na kila raia
Tanzania ina mazezeta wengi mno wa ccm na hawajitambui kabisa na wengi wanatoka pande za chattle na mikoa maskini zaidi.
 
Mkuu hebu tulia uandike vizuri basi ueleweke mbio zote za nini hizo?
 
Na magu2016 na Dam55 ni misukule!!
Mkuu @tindo,achana na misukule. Hawana a wala b walijualo.
Kwa comment kama hizi ni dhahiri kuna tatizo sehemu sio bure mkuu.
 
Ukitaka kumdharau mtu, unamwacha tu anajiropokeaaa wewe unaendelea na kazi,

Hawa wathungu wapuuzwe kama Vyama vinavyojipendekeza kwao vinavyozidi kupuuzwa na kila raia
Unachekesha wewe mpuuzi hivi mpaka kulaani unadhani wanategemea taarifa za polisi fisiemu,ambao Lisu kapigwa risasi na hakuna mtuhumiwa mpaka sasa hivi,wanachongea wanamaanisha masifi maji nyie watoa roho za watu
 
Mwambie huyo ndumilakuwili wa lumumba
Unachekesha wewe mpuuzi hivi mpaka kulaani unadhani wanategemea taarifa za polisi fisiemu,ambao Lisu kapigwa risasi na hakuna mtuhumiwa mpaka sasa hivi,wanachongea wanamaanisha masifi maji nyie watoa roho za watu
 
Ukitaka kumdharau mtu, unamwacha tu anajiropokeaaa wewe unaendelea na kazi,

Hawa wathungu wapuuzwe kama Vyama vinavyojipendekeza kwao vinavyozidi kupuuzwa na kila raia
Raia wa wapi wanapuuza uonevu kwa wapinzani? au Raia wa Burundi? Raia wa Tanzania wote wanajua awamu ya tano kuna Udikteta mwingi
 
Je balozi wetu kule Washington na nchi za ulaya wakitoa taarifa za kushutumu serikali na mamlaka kwa ukiukaji wa haki za binadamu huko unadhani watafanywa Nini?!
Ahaaa lakini kumbuka Kuna taratibu na kanuni za kimataifa kuhusu wajibu na dos and donts kwa ma alozi
Mkuu hilo analijua vizuri tu ila hawezi kulikubali kamwe kwasababu ya kutaka kutetea kile anachokiamini, nadhani ni mmoja kati ya watu wanao amini kuwa marekani ana haki ya kufanya chochote kwenye nchi yoyote.

Yeye anaamini kuwa mabadiliko ya nchi za Africa yatapatikana kwa maifa ya Ulaya kuvunja sheria na kuingilia siasa za nchi huru za Africa, hili ni tatizo kubwa sana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…