Utendaji wa viongozi la Jeshi la Polisi Tanzania ni wakutiliwa mashaka sana, na hasa wanapokuwa wanashughulikia masuala ya jinai yanayowatokea viongozi wa vyama vya upinzani walio tishio kwa chama tawala. Wala siyo siri wanatumika sana kwa maslahi ya CCM.
Tusingelitarajia jipya kutokana na tukio lenye sura ya kijinai kutokana na maelekeo ya awali ya Mh. Mbowe.
My take: Sidhani kwa mtu aina ya Mh. Mbowe, jinai yoyote ile ya kweli dhidi yake inaweza kuisha kizembezembe. Nafikiri hapa ndipo ni mwanzo wa mchezo wenyewe, ni ngumu sana kujitangazia ushindi wa mapema.