CK Allan
JF-Expert Member
- Aug 14, 2013
- 2,781
- 6,139
Hebu fikiria Kibu Denis alicheza Mbeya huko miaka na miaka!! Lakini siku alitia mguu wake Simba Tanzania yote ilisimama! Na hatimaye mambo ya Uraia yakajitokeza! Amini nakuambia angeenda yanga Wala hakuna kelele ambazo zingesikika!
Sasa tuje Kwa Juma Mgunda,
Yeye alishafundisha mpaka Timu ya taifa kama msaidizi Kwa zaidi ya miaka mitatu! Huyu alikuwa na Coast union kama kocha mkuu miaka na miaka! Lakini ona alivyoingia Simba !! Kelele Tanzania nzima!!
KeShO Kuna Watu Timu Yao inacheza lakini wako bize na kufuatilia huko Malawi! Eti atakaa au hatakaa!
Imagine mambo ya Malawi na Mgunda yanajulikana zaidi na Kuna wengine hata hawajui Timu Yao inacheza na wachimba mchanga Kesho huko chamanzi wako bize na simba!!
HakiKa simba ni Timu kubwa Afrika..
Nawaacha na wimbo wa Fid q ft Prof jay na Langa Unaitwa
"NI HAYO TU!"