Mnafuatilia mechi ya nyasa ya temeke hata hamjui ikoje vinye fcMme wenu Mayele anawangoja Dar. Hopefully mtarudi mmependeza kutoka huko nyasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnafuatilia mechi ya nyasa ya temeke hata hamjui ikoje vinye fcMme wenu Mayele anawangoja Dar. Hopefully mtarudi mmependeza kutoka huko nyasa
Umesikia wapi ?Nasikia team inayocheza na yanga mpaka sasa hivi haijafika wameondoka siku tatu zilizopita na unaweza ukashangaa mtu akalia vile vile kesho.
Huenda changamoto yako ni umri, Saidi maulidi alicheza Simba alipokwenda Yanga akapewa uraia wa Burundi.Hebu fikiria Kibu Denis alicheza Mbeya huko miaka na miaka!! Lakini siku alitia mguu wake Simba Tanzania yote ilisimama! Na hatimaye mambo ya Uraia yakajitokeza! Amini nakuambia angeenda yanga Wala hakuna kelele ambazo zingesikika!
Sasa tuje Kwa Juma Mgunda,
Yeye alishafundisha mpaka Timu ya taifa kama msaidizi Kwa zaidi ya miaka mitatu! Huyu alikuwa na Coast union kama kocha mkuu miaka na miaka! Lakini ona alivyoingia Simba !! Kelele Tanzania nzima!!
KeShO Kuna Watu Timu Yao inacheza lakini wako bize na kufuatilia huko Malawi! Eti atakaa au hatakaa!
Imagine mambo ya Malawi na Mgunda yanajulikana zaidi na Kuna wengine hata hawajui Timu Yao inacheza na wachimba mchanga Kesho huko chamanzi wako bize na simba!!
HakiKa simba ni Timu kubwa Afrika..
Nawaacha na wimbo wa Fid q ft Prof jay na Langa Unaitwa
"NI HAYO TU!"
Mume wenu Sakho master anawangoja awapelekee motoMme wenu Mayele anawangoja Dar. Hopefully mtarudi mmependeza kutoka huko nyasa
.Mashabiki wa Yanga wengi ni majuha