Kwa hili la mwaka mmoja wa kifo cha Magufuli, Kanisa Katoliki linapaswa kuona aibu

Toa ujinga wako huko. Kila siku watu hata mkono haujai mnataja hao eti walipotea. Huwezi kulinganisha kupotea hao vibaraka wako na mafanikio makubwa ya magufuli. Zulumati wa umma mlitiwa adabu. Hizo mahakama zenu mnaponunua haki zikasafishwa. Shwain fisadi wewe.
 
Anayetiwa adabu yupo kuzimu na adabu yake ndio kwanzaaa inaanza mkuu 😂😂😜
 
Tumekusikia na pumba zako, haibadilishi kukumbwa kesho kwa hayati John Pombe Magufuli. Ila kwa uandishi wako nashawishika kusema, aidha ulikuwa fisadi ukakumbana na makali ya JPM, au ndugu yako mmoja au wawili walikuwa na maovu wakakumbana na moto, au ulikuwa na vyeti fake ukawashwa au ulitumbuliwa katika wadhifa fulani, ndiyo maana unatoa cheche za machungu hapa.
 
Magufuli amevipiga vita vilivyo vyema, vita vya roho na mwendo ameumaliza.

Sasa anangojea kupewa taji ya ushindi. Na siyo yeye peke yake, bali pamoja na wateule wengine walioshinda vita.

Keep RIP our best president, JPM.
Collective imbecilization
 
Wewe Nguruwe,Ben Saanane angekuwa jaamaa Yako ungeandika mavi haya! Pumbavu!
Watu wameumizwa wewe unaleta Uch....
 
😂😂 Mzee vipi nimeongea chochote Cha uwongo kuhusu mungu wako hapo?
 
So ataitaje wakwepa kodi na wahamiaji haramu ikulu na kuomba ushauri wao?
Nafurahi kuwa katika uzi wako fake umechokoza nyuki, na mawe haya unayokula ni ushahidi tosha kuwa ulichoandika humu ni PUMBA TUPU! Wacha uendelee kushindiliwa mawe!
 
Pole sana najua ulikiona cha mtemakuni kwa JPM!
 
Yapo mengi sana mazuri aliyafanya hayati JPM, waulize waliodhulumiwa viwanja vyao miaka mingi ya mateso waliyopitia.

Umeme haukukatika kama kuanzia mwaka jana kuja mwaka huu, wale waliokuwa wakitembea kwa jeuri mikia yote ilirudi tumboni.

Hakukuwa na mwenye jeuri ya kumwambia mwenzake 'unanijua mimi ni nani?', kila mtu alimuogopa anayeongea naye.

Samia anatembelea mafanikio ya JPM na ya watangulizi wake, uzuri ni kwamba kila rais anafanya sehemu yake na anaondoka akimwachia anayefuata.
 
Alitoa wenye jeuri? Hawa akina Sabaya na magenge yao waliokuwa wakienda Benki na kuamuru watolewe milioni 90? Hawa Akina Makonda na magenge yake waliokuwa wanavamia vituo vya habari na kulazimisha habari zao zirushwe?
Mapolo
 
Alitoa wenye jeuri? Hawa akina Sabaya na magenge yao waliokuwa wakienda Benki na kuamuru watolewe milioni 90? Hawa Akina Makonda na magenge yake waliokuwa wanavamia vituo vya habari na kulazimisha habari zao zirushwe?
Mapolo
Huwezi kuwalinganisha na ndege nane alizonunua kwa pesa za ndani. Huwezi kuwalinganisha na ufufuaji wa shirika la ndege tuliloliua kwa uzembe wetu wenyewe.

Huwezi kuwalinganisha na ujenzi wa terminal ya uwanja wa ndege ambayo kama sio msisitizo wake isingemalizika ndani ya muda.

Huwezi kuwalinganisha na ujenzi wa barabara zote alizozijenga na kuzisimamia pamoja na flyovers zote.
 
Futa huu uzi wako hapa,Magufuli ni Rais bora wa wakati wote.

Ukiwa kiongozi si lazima watu wote wakupende
 
Kumbuka Magufuli ndio Rais aliyekopa mikopo Mungu kuliko Marais wote ndani ya miaka 5 tu,

Kikwete naye aliunganisha nchi nzima kwa barabara za lami, miradi ya umeme wa gesi, shule za sekondari Kila kata, ajira za kumwaga, vyuo vikuu vikubwa na vya kati, hospitali n.k bila kukopa Sana

Lakini haikuwa excuse ya mabaya yake, na yeye alikuwa na mapungufu yake ya ufisadi amabayo tuliyasema,
 
Mkuu, inakuuma nini watu kufanya wanachoona ni sahihi. Kwa kuwa tupo nchi huru na wewe andaa kongamano uelezee unachojisikia kuelewa.

Usipanjia watu cha kufanya hauna mamlaka hiyo.
Mbona unajichanganya mwenyewe.
Yeye hii njia ndiyo aliyoichagua, kuchambua maovu yaliyofanywa na huyo mtu. Tatizo liko wapi?

Magufuli alikuwa ni mtu mwovu; shetani aliyekuwa kwenye kiwiliwili cha binaadam.
 
Kumsamehe na kumuadhimisha ni tofauti, kwa nini wasiadhimishe kifo cha mkapa?
Hili ni swali zuri sana la kuwauliza hao wakatoliki. Ngoja vumbi litulie halafu tuwatafute watupe jibu. Kwa nini Magufuli na siyo Mkapa?
 
Kama unategemea viongozi wa dini kwenye harakati zako tambua kuwa unapotea mazima.
Viongozi wengi wa dini wana roho mbaya kuliko hata hii unayoisema hapa!
 
Hili ni swali zuri sana la kuwauliza hao wakatoliki. Ngoja vumbi litulie halafu tuwatafute watupe jibu. Kwa nini Magufuli na siyo Mkapa?
Wakikupa jibu ujitafakari sana. Utakuwa umedanganywa sana yaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…