Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo sakramenti alipewa na Sheikh Mkuu au na Bashite?Unataka Kanisa Katoliki limhukumu mtu ambaye kabla ya kifo chake alipokea Sakramenti zote na linaamini yupo Mbinguni?
kadnalHizo sakramenti alipewa na Sheikh Mkuu au na Bashite?
Hakuna watu wanafiki km viongozi wa dini wanaangalia matumbo yao.Sitaki kuzungumzia madhila ya kisiasa aliyoyafanya kwa Taifa huyu mtu, maana hata ukurasa huu hautatosha, nataka nizungumzie tu madhila aliyowafanyia kanisa Katoliki na Makanisa Mengine...
Wewe punguza unafiki kidogo kwangu Mimi Mkapa anapaswa kukumbukwa na si huyu Magufuli, kwa Hilo Kabisa katoliki linayumba.Mada ya kipagani hii.
Sisi Wakristo hatuishi katikati ya VISASI bali tumebeba UPENDO mioyoni mwetu.
Tofauti ya Mkapa na Magufuli ni moja tu kwamba Ben alioa Uchagani!Wewe punguza unafiki kidogo kwangu Mimi Mkapa anapaswa kukumbukwa na si huyu Magufuli, kwa Hilo Kabisa katoliki linayumba.
Hapa tunaongelea dini gani?Hizo sakramenti alipewa na Sheikh Mkuu au na Bashite?
Kama walimuombea walifanya hivyo kimy kimya. Basi na wafanye hivyohivyo kwa Magufuli. Why double standard?Una uhakika mwaka mmoja wa kifo cha Mkapa Kanisa Katoliki halikumuombea?
Matendo ya huyu mtu hayakuwa ya kibinadamu kabisa, tunamshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa zawadi aliyotupa.Unateseka ukiwa wapi?
Mafisadi, mabeberu, vibaraka wa mabeberu, wabadhirifu na vyeti feki mnamchukia sana Magufuli.
You guys should move on.
Si umuombee wewe kimyakimya, umekatazwa?Kama walimuombea walifanya hivyo kimy kimya. Basi na wafanye hivyohivyo kwa Magufuli. Why double standard?
Na wewe ukifa Mungu atakuwa amewapa zawadi akina nani?Matendo ya huyu mtu hayakuwa ya kibinadamu kabisa, tunamshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa zawadi aliyotupa.
Mimi siombei mtu aliyekwisha kufa mkuu, naombea aliyehaiSi umuombee wewe kimyakimya, umekatazwa?