Kwa hili la mwaka mmoja wa kifo cha Magufuli, Kanisa Katoliki linapaswa kuona aibu

Hivi mkuu... Unaamini kabisa kwamba aliitwa Padre kumuombea?
Jamaa alikuwa in Coma mkuu (hakuwa na ufahamu)... na wakajaribu kwenda hapo kwa nchi jirani wakaambiwa hakuna uwezekano wowote ule wa kupona... Wakageuza kurudi.. anyway ngoja tunyamaze
Usilolijua ni kama usiku wa giza bwashee!
 
QUOTE="johnthebaptist, post: 41963383, member: 228646"]
Usilolijua ni kama usiku wa giza bwashee!
[/QUOTE]
Sawa bwashee ujuae kila kitu
 
 
Mbona shutuma zote na mashitaka yameelekezwa kwa mtu ambaye hawezi kuzijibia (marehemu/hayati) na siyo Kanisa Katoliki kama ilivyo 'headline'? Rest in Power Hero
 
Mimi ni moatoliki, lakini h

awa maaskofu wetu kwa unafiki siwawezi. Hata askofu Nyaisonga kuwa rais wa tec, hawakuzingatia vigezo vingine zaidi ya kuwa mwendazake alikuwa rafiki mkubwa wa huyu askofu.
ACHA UONGO KANISA LINA UTARATIBU WAKE HALIPANGIWI NA SERIKALI NAMNA YA KUPATA VIONGOZI. HALAFU NYIE MBWEHA ACHENI UCHONGANISHA

MISA YA KUADHIMISHA MWAKA MMOJA WA KIFO CHA HAYATI MKAPA ILIFANYIKA LUPASO NA ILISOMWA NA MWADHAMA KARDINAL PENGO, MAKAMU WA RAIS NA WAZIRI MKUU WALIHUDHURIA NA WAKAFANYA ZIRA YA KIKAZI LINDI
 
Asante kwa ufafanuzi, neno la Mungu linasema hakuna KINYONGE kitachoingia mbinguni! Ukiungama dhambi zako kwa dhati ni tiketi ya mbinguni.

Lakini ikitokea umetenda dhambi ndogo ndogo kabla ya mauti ( inaweza kutokea kibinadamu) huwezi kwenda mbinguni kabla hujasafishwa na neno la Mungu linasema utasafishwa ni kama kwa moto ( toharani). Kule unaenda ukiwa safi bila doa lolote.

14 Kazi ya mtu aliyoijenga juu yake ikikaa, atapata thawabu.
1 Wakorintho 3:14

15 Kazi ya mtu ikiteketea, atapata hasara; ila yeye mwenyewe ataokolewa; lakini ni kama kwa moto.
1 Wakorintho 3:15
 
Wewe umeshafanya mangapi na ukasamehewa na mzazi wako ama mkeo/mmeo?

Ukristo hauko kama wewe ulivyo.

Walipotoa walaka pengine alitubu kisirisiri. ACHA CHUKI.
Jiwe alikuwa mnafiki sana huku anasimama mbele ya kanisa Kama muhubiri huku anatesa na kuuwa watu .bahati nzuri mungu hapokei rushwa

Akamtandika mnafiki rungu jiwe Chali tukaenda kumfukia kwenye udongo ni vizuri akifa tena huko alipo Ili asiwe kiongozi wa malaika
 
Vyeti fake hao. 😁
 
Kila mtu anayo haki ya kusema LOLOTE as long as ana hiyo haki na as long as ana huo MDOMO; vivyo hivyo kuandika, hii ni haki ya kila mtu as long as ANAJUA KUSOMA NA KUANDIKA.

Hayo ni mawazo yako na yanaheshimiwa kama yalivyo! Kwa mimi NO COMMENT!
 
Kwa sababu misingi ya Taifa letu ni UNAFIKI.

Viongozi wasio wanafiki kwenye vyama vya siasa, serikalini na uraiani unaweza kuwahesabu.

Ni ajabu na kweli hata viongozi wa dini wasio wanafiki wanajulikana kama Mababa Askofu Rwaichi, Shoo, Mwanakondoo ameshinda, Bagonza, Sererin , Sheikh Ponda nk kwa uchache wao.

Ni hatari sana ndugu zangu. Mungu aingilie kati.
 
Wote tuungane kuomba na kumlilia MUNGU aingilie kati. AMEN
 
Umemaliza kila kitu mkuu.

Shida Wakatoliki wengi tuna maarifa nusunusu kuhusu imani yetu, ndio maana tunayumbishwa.
 
Viongozi wa dini halisi wamebaki wachache sana, wengi hawana tofauti na wapiga dili wngine wao wakitumia sadaka.

Kiongozi wa dini asiyekuwa maovunl bila kujali matokeo yake HAFAI
 
Magufuli amevipiga vita vilivyo vyema, vita vya roho na mwendo ameumaliza.

Sasa anangojea kupewa taji ya ushindi. Na siyo yeye peke yake, bali pamoja na wateule wengine walioshinda vita.

Keep RIP our best president, JPM.
Kama amevipiga vita kama unavyodai basi wewe ni mpagani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…