Kwa hili la mwaka mmoja wa kifo cha Magufuli, Kanisa Katoliki linapaswa kuona aibu

Mkuu mbona kama unalipangia kanisa lifuate hisia zako?

Kwani wewe umelazimishwa kuadhimisha?
 
Wewe punguza unafiki kidogo kwangu Mimi Mkapa anapaswa kukumbukwa na si huyu Magufuli, kwa Hilo Kabisa katoliki linayumba.
Huoni kuna utofauti hapo?

Umesema kwako wewe, kwa nini usimwache mwenzako naye awe huru kama unavyotaka Mkapa ndio wa kuenziwa au dishi lako limeyumba?

J.P.M shujaa, pumzika kwa amani
 
Waliouwawa na kuteswa enzi za Mwendazake wangekuwa ni ndugu zako ungesema haya?
 
Hichi kinyongo, wivu na kutokusamehe, ni sumu kubwa kwa watu kama mleta uzi
Ndio, umewaonyesha watu mapungufu ya Shujaa Magufuli, ila kwa upumbavu wako, umeshindwa kabisa kuwaonyesha ukamilifu wako wewe, Huu nao ni ujinga na upumbavu wa watu kama ninyi mnaodhani hamnaga mapungufu,!
 
Sioni mantiki yoyote ya hoja yako, kanisa linatimiza majukumu yake, USILIPANGIE kama unavyopanga mke wako na watoto wale nini, waishi vipi na wasome wapi!
 
Asante mkuu kwa kutukumbusha kutokwenda kawe kamwe machungu hayajasaulika bado, wenye monyo nendeni huyu mzee anahitaji sala zenu sana kurehemiwa 🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️
 
HUNA AKILI NA CHUKKI ZAKO ZA KICHAWI
 
Kila kitu kilichoandikwa hapo Magufuli alikifanya hadharani kabisa, sio tuhuma.
Labda kama ulikuwa hufuatilii siasa
Tatizo lako uni kuwa na roho ya kifisadi.
Wenye uzalendo ndo wanamtambua magufuli km the best president.

Hata Roma, kushadidia covid ilikuwa siyo Kwa matakwa yao... siri iliyokuwa nyuma ya corona ndyo iliyokuwa inawasukuma kutofautiana na JPM
 
Mkuu mleta mada Mtume Paulo alikuwa anawaua kabisa watu wa Mungu sembuse Hayati JPM ambaye hakuitoa roho ya kiongozi yoyote wa dini wa Tanzani!!.

Mungu katika ukuu wake anasamehe kila mara anapopigiwa magoti na kuombwa msamaha wa dhati kabisa.

Hao viongozi wa dini ndio maisha yao ya kila siku kuichambua injili na Biblia kwa ujumla na kutusimamia kiroho, hivyo wanao uhalali wa kufanya walichoona kinafaa kufanyika.
 
Hakuna binadamu aliyekuwa na chuki Kama Magufuli katoka historia ya Tanzania, aliua wengi, kujeruhi na kufunga na kufilisi wengi kwa ajili tu ya kulinda pride yake ni lazima tuseme na kukemea waovu Kama Hawa ili wasijirudie na kupewa mamlaka makubwa
 
Mkuu, inakuuma nini watu kufanya wanachoona ni sahihi. Kwa kuwa tupo nchi huru na wewe andaa kongamano uelezee unachojisikia kuelewa.

Usipanjia watu cha kufanya hauna mamlaka hiyo.
Achana na team gaidi hiyo, utaambulia matusi tuu.
 
Kanisa ni mali ya waumini, kama linafanya kitu ambacho sio sahihi waumini wanapaswa kukemea
Kwani wewe ni muumini wa kanisa katoliki? Mbona kama hujielewi,kanisa linasimama kwasababu ya neno msamaha

Madayako umeanza na kanisa katoliki alafu humondani umechanganyachanganya mara kakobe blabla blabla.

Kama hujui kusamehe then hujui hata maana ya ukristo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…