Kwa hili la Obama Afrika inaweza kuwa sawa na kosa linalojumuisha Madawa ya Kulevya, Uhujumi Uchumi, Uhamiaji Haramu

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
901
Reaction score
1,742


Your browser is not able to display this video.


Obama alikuwa anatoa hotuba kuhusu Uhamiaji huko California 2013,vijana 2 wakaingilia hotuba yake na kuanza kupiga kelele kwa kukosoa.Watu wa usalama wakata kwenda kuwatoa lakini Obama akawazuia.Akawajibu kwa busara vijana hao na akawaalika kujadili naye zaidi.That’s Presidential
 
Afrika rais ni semi-god ndio maana akitamka kitu ni sheria huu ujinga upo kwa mataifa ya watu wajinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…