Aiseee hii kitu Huwa nashindwa kuielewa,mara zote naandikiwa Paracetamol lakini hili jina Panadol mbona limezoeleka sana?Jamaa yuko sahihi, not Panadol but Paracetamol.
Haya sasa toeni maoni
Owk, tuyaache hayo mkuu, tusiharibu uziSo you are talking of chemical formula/composition?
Yeye ametaja anachokisoma... Amekwambia au kwa akili yako unaona kaulizia compostion?
1. Hakuna neno Panadol?
2. Waliondika panadol hawana uelewa?
3. Kwanini wameandika hilo neno?
Common name[emoji777]
Brand name [emoji736]
chemical/Technical name[emoji777]
Generic [emoji736]
Owk, tuyaache hayo mkuu, tusiharibu uzi
Hebu turudi kwenye mada sasa..
Sawa kaka nimekubali make nimerudia kusoma tena. Toa maoni sasa sio uishie kukosoa tu.
Strip yenye vidonge 10!(Tablet 1 yenye vidonge 10).
Hapa kuna shida Mkuu, kuna haja ya editing!
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Hiyo yenyewe iko hivyohivyo bro tena usilete ubishi kwa hili(Tablet 1 yenye vidonge 10).
Hapa kuna shida Mkuu, kuna haja ya editing!
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Hii imekaaje?
Umetukanwa wapi wewe?,kuambiwa ukweli ndio ndio kutukanwa?,na,huyo KENGE unayemzungumzia wewe ni yule mwenye mkia au ambaye hana mkia,kabla ya kuleta vitu hapa uwe utumia akili hata kidogo sio kuandika vitu bogus halafu unajiita Great ThinkerHuu ni mjadara ndo maana nimeleta humu ili kila mtu atoe maoni yake, sasa KENGE kama wewe unaanza kutukana wakati mimi nimekujibu kiustaarabu
Hii ni technical topic,Nyinyi mnaingiza ujuwaji pasipo kabisa
Huyu mleta uzi yuko very clear....badala ya kujibu kero yake mnaanza uzushi
Haipendezi
Hii ni technical topic,
Tukimuweka sawa pale anapokosea nadhani itapendeza!
Nadhani nimemjibu,Unaelewa unachobisha?
Umelewa concerns za mleta hoja?
Ukielewa hayo maswali mawili then focus kwenye hoja
Hilo box maandishi makubwa kumbe kuyatamka au kuyatumia nimakosa? Pathetic
Huwezi kuwa Mwalimu wangu wewe,Hajakuuliza mambo ya technical wewe ningekuwa mwalimu wako I could give you zero kwenye response yako kwa hoja hii
Unajibu kisicho kwenye hoja.....mambo ya technical ya huko pharmacy na hajauliza hilo unalolazimisha.
Nadhani nimemjibu,
Wewe huwezi elewa haya mambo, mliacha science form two mnatupa shida huku.