Kwa hili la red sea nchi zote za afrika tunatakiwa kuungana na UK, USA, kuichakaza Yemen. Afrika ndio muathirika mkuu wa ufedhuli huu!

.
Lengo hasa ni Hilo,wanaosakwa hasa ni EU.

Nikirejea Syria,Afrika magharibi naanza pata jibu,hapo Red sea hapawezekani Tena.
Mzungu yeye anafikiria athari ‘insurer’ yeye hajali njia ikiwa na hatari tu, insurance cover inapanda.

Mwenye meli kabla ajapata hasara ya meli yake, bora abadili njia.

Na western countries ukicheza na uchumi wao kabla ujapeleka madhara makubwa chances are watakuvaa.
 
Are you sure 30 minutes is enough
to climb usambara mountain you will need more than 30 minutes
maybe i cannot underestimate your power
 
Kwani zile Kombora za Muajemi kutoka YEMEN hazifiki Mikocheni ?

Hebu tuache aisee
 
Nimekupata sana
 
Wewe chawa Yemen siyo Chadema, kaa kwa kutulia. Labda mtumeni yule Balozi wenu wa Cuba asiyejua diplosia akawafokee Wayemen. Otherwise you are horrible as your thread.
Huna akili wewe ni broiller
 
Wahauthi wadhibitiwe ili wasiweze kurusha makombora Baharini au kutega mabomu kwenye njia za Meli.

Kama wana hasira kwa ndugu zao kupigwa huko Gaza basi waende Gaza kuwasaidia.
Hao mafala baada ya mwezi mmoja watakuwa hoi maana vifaa vyao na kambi zao zote zimepigwa Jana na Leo hata rada zimeharibiwa maeneo yao yote ikiwemo na vituo vya kurushia makombora ya masafa marefu.
Ni suala la muda Tu hawa wachumba wa houthi hawatakuwepo tena
 
Marekani ni mlinzi wa amani duniani na ndio maana amejitolea kuongoza operation ya kuzuia magaidi ya Houthi kuharibu biashara ya kimataifa.
 
Acha umbumbu wa kuleta hoja za kujiunga na wakoloni dhalimu.
Acha mzayuni na mabwana zake wapate chai
 
Kuna bidhaa gani kuja Africa zinazo pita huko maana hata mafuta tunanua Toka refineries za Ulaya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…