Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Mzungu yeye anafikiria athari ‘insurer’ yeye hajali njia ikiwa na hatari tu, insurance cover inapanda..
Lengo hasa ni Hilo,wanaosakwa hasa ni EU.
Nikirejea Syria,Afrika magharibi naanza pata jibu,hapo Red sea hapawezekani Tena.
Mwenye meli kabla ajapata hasara ya meli yake, bora abadili njia.
Na western countries ukicheza na uchumi wao kabla ujapeleka madhara makubwa chances are watakuvaa.