instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,037
- 17,212
Hata jina la Kagera walifute Tu maana jina Hilo Lina mikosi Tu...
Mkoa uitwe tena Ziwa Magharibi ( West lake region) kama ulivyokuwa ukiitwa hapo zamani...
Bukoba kuna kisiwa cha musira, Kanisa la kyaka, na hospital ya mkoa vyote vililipuliwa...lakin Hadi Leo hospital ya mkoa imechoka kweli kweli....
Kuna uwanja wa mashujaa pale Bukoba mjini umechoka kweli kweli...
Nb..Raia zaidi ya 2000 waliuawa katika Vita hivyo...tusisahau Hilo....