instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,037
- 17,212
Naona unataja vyuo vya makanisa...kwamba Bukoba hakuna vyuo vya makanisa sio?Ukienda Kilimanjaro kuna vyuo vikuu sita; KCMC, Moshi Cooperative University, Mwenge University, Stephano Moshi University na Mweka University (achilia mbali campuses) kama Masoka, Mwika, nk Kati ya vyuo hivyo vikuu 6 vya serikali ni viwili tu; MUCCOBS na Mweka basi. Vingine 4 vilivyobakia ni juhudi za watu wa Kilimanjaro wakishirikiana na mashirika binafsi na ya dini, Wakatoliki na Walutheri. Unasemaje mkuu? Jitegemeeni acheni kulaumu serikali mtachelewa sana.
Josiah Kibira University, Cardinal Rugambwa University , Karuco...na vyuo kibao vya kati vilivyojaa Bukoba tena vingine Hadi vijijini huko Rubya, Mugana, kamachumu NK...
Mkuu watu wa kagera hawana shida na elimu mzee...huko wako 100 percent perfect...na hakuna wakuzidi wahaya nchi hii kwa usomi na kuvalue elimu....
Sisi tunataka miundombinu Bora ya Barabara za viwango, Airport nzr na yenye ubora, masoko Bora ya mazao kibao yanayozalishwa kagera...wafungue mipaka yote watu wafanye biashara NK...
Na najua Kilimanjaro mna shida kama hizo hizo sema siku hiz. vijana wa kichaga mmejaa sifa Tu mnaona mmeendelea wakati mmefikia stage huwezi hata kufungua biashara au kampuni ukaweka headquarters Moshi...mji mnaukimbia nao unabaki maghofu Tu...
Hatutaki kuwa na miji michafu kama hii Moshi....