Kwa hili la ujenzi wa mnara wa mashujaa, Mkoa wa Kagera hautendewi haki

Hata jina la Kagera walifute Tu maana jina Hilo Lina mikosi Tu...

Mkoa uitwe tena Ziwa Magharibi ( West lake region) kama ulivyokuwa ukiitwa hapo zamani...

Bukoba kuna kisiwa cha musira, Kanisa la kyaka, na hospital ya mkoa vyote vililipuliwa...lakin Hadi Leo hospital ya mkoa imechoka kweli kweli....

Kuna uwanja wa mashujaa pale Bukoba mjini umechoka kweli kweli...

Nb..Raia zaidi ya 2000 waliuawa katika Vita hivyo...tusisahau Hilo....
 
Waseme mara ngap...

Mfano Tu uwanja wa ndege wa Bukoba....uwanja ni finyu na iko karibu na mji sana...
Leo hii ni Ajali ya pili ndani ya mwaka mmoja kutokea same spot...lakin hakuna anayejali...
Wananchi Hadi marubani wanalalamika hakuna anayejali..labda ndege ya Rais ianguke labda ndo watashtuka...

Ishu ya stendi ya Bukoba...juzi Tu manispaa ya Bukoba imeanza ujenzi tena wakapigwa stop sijui wasubiri tactic...mradi toka 2017 haujaanza Hadi Leo..
Kuna issue behind Kagera...
 
Umaskini wa Kagera unatokana na uvivu wa Wanakagera hasa wasomi na matajiri wa Kagera wenye ubinafsi mkubwa na wasiopenda kwao. Mkajifunze Kilimanjaro namna ya kujitegemea na kuachana na kutegemea serikali.
Kilimanjaro? Seriously?
 
Umaskini wa Kagera unatokana na uvivu wa Wanakagera hasa wasomi na matajiri wa Kagera wenye ubinafsi mkubwa na wasiopenda kwao. Mkajifunze Kilimanjaro namna ya kujitegemea na kuachana na kutegemea serikali.
So unataka wasomi na wananchi ndo wakajenge stendi? Wakapanue uwanja wa ndege? Wajenge Barabara za mjini bukoba ziwe njia nne ni...wapanue uwanja wa ndege?
Ni wao huko ambako wananchi wamejenga hayo? Serikali inafanya nini...

Huko Kilimanjaro wachaga ndo wamejenga kia, wamejenga stendi sio?

Hiv kwa nini masuala ya miundombinu ya Kagera mnapenda kuwalaumu wahaya? May be wahaya Wana serikali yao...
Kuna Yule malinzi aliyekuwa TFF kajikongoja kajenga uwanja mzr wa nyasi bandia pale Kaitaba...Tazama alivyofanywa na watz...kafunguliwa Hadi kesi za uhujumu uchumi sijui matumizi mabovu ya mali za TFF NK..na bado akawashinda mahakamani...
 
Hiv watu wa Kagera wafanye nini ili serikali ijenge stendi ya maana pale Bukoba...wafanye nini wauamishe ule uwanja hatarishi wa ndege pale Bukoba? Wafanye nini wajenge soko zuri pale mjini bukoba...

Hebu tuambie watu wa Bukoba wafanye nini ili serikali ipanue Barabara kuu inayoingia mjini bukoba ilivyo hatarishi na finyu...

Mfano pale Iringa wananchi walifanya nini mpaka wakajengewa dual carriageway pale kati?
 
Sio mnara kama wa simu, ni investiment ya mahoteli, kumbi za mikutano na recreation facilities kama iliyo Eiffel tower Paris, sasa Bunazi hizo Hotel zitarudisha lini gharama za uwekezaji????
 
Muahay mwenzangu huo mnara hauna maajabu kwamba utailet3a fedha Kagera au kuwaepusha na ugonjwa wa mnyauko.
 
Usidandie mambo ya aviation wakati hujui lolote kuhusu Aviation.

Uwanja wa ndege unatakiwa ukae karibu na maji, Bukoba na Mwanza ndio ujenzi sahihi wa Airport.
 

Attachments

  • FB_IMG_1684827463577.jpg
    46.5 KB · Views: 4
Usidandie mambo ya aviation wakati hujui lolote kuhusu Aviation.

Uwanja wa ndege unatakiwa ukae karibu na maji, Bukoba na Mwanza ndio ujenzi sahihi wa Airport.
Wew ndo mpumbavu sasa.....

Hiv huo uwanja wa Bukoba unaufahamu?

So viwanja vyote vikubwa viko karibu na maji?
 
Una takwimu za uchangiaji wa mkoa wa Kagera katika mapato ya taifa?
 
Ukienda Kilimanjaro kuna vyuo vikuu sita; KCMC, Moshi Cooperative University, Mwenge University, Stephano Moshi University na Mweka University (achilia mbali campuses) kama Masoka, Mwika, nk Kati ya vyuo hivyo vikuu 6 vya serikali ni viwili tu; MUCCOBS na Mweka basi. Vingine 4 vilivyobakia ni juhudi za watu wa Kilimanjaro wakishirikiana na mashirika binafsi na ya dini, Wakatoliki na Walutheri. Unasemaje mkuu? Jitegemeeni acheni kulaumu serikali mtachelewa sana.
 
Umaskini wa Kagera unatokana na uvivu wa Wanakagera hasa wasomi na matajiri wa Kagera wenye ubinafsi mkubwa na wasiopenda kwao. Mkajifunze Kilimanjaro namna ya kujitegemea na kuachana na kutegemea serikali.
Uvivu na ulevi ni tatizo la kudumu haswa miongoni mwa vijana wadogo.

Tuna vijana wengi wenye roho mbaya ya kutopenda kuona mtu akifanikiwa.
 
Serikali ilitenga eneo la kujenga chuo kikuu kikubwa pembeni ya Ziwa Victoria, na nikaiona video moja Kikwete akiliongelea suala hilo.

Hayo ndio mawazo ya maana ya kuyafanyia kazi kuliko kuja na mada za minara. Ukishajenga mnara nini kinafuata?.
 

Mjinga mmoja, vita za MajiMaji sijui Mkwawa hazikuwa za kitaifa na hazikuleta matokeo yoyote.... ficha huo ujinga.
 
Usidandie mambo ya aviation wakati hujui lolote kuhusu Aviation.

Uwanja wa ndege unatakiwa ukae karibu na maji, Bukoba na Mwanza ndio ujenzi sahihi wa Airport.
Mnadhalilisha wasomi kwa kujiita majina ya kisomi kumbe vihiyo tu.!
Eti uwanja lazima uwe karibu na maji, PUMBAVU.!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…