Kwa hili la ujenzi wa mnara wa mashujaa, Mkoa wa Kagera hautendewi haki

Naona unataja vyuo vya makanisa...kwamba Bukoba hakuna vyuo vya makanisa sio?
Josiah Kibira University, Cardinal Rugambwa University , Karuco...na vyuo kibao vya kati vilivyojaa Bukoba tena vingine Hadi vijijini huko Rubya, Mugana, kamachumu NK...
Mkuu watu wa kagera hawana shida na elimu mzee...huko wako 100 percent perfect...na hakuna wakuzidi wahaya nchi hii kwa usomi na kuvalue elimu....


Sisi tunataka miundombinu Bora ya Barabara za viwango, Airport nzr na yenye ubora, masoko Bora ya mazao kibao yanayozalishwa kagera...wafungue mipaka yote watu wafanye biashara NK...
Na najua Kilimanjaro mna shida kama hizo hizo sema siku hiz. vijana wa kichaga mmejaa sifa Tu mnaona mmeendelea wakati mmefikia stage huwezi hata kufungua biashara au kampuni ukaweka headquarters Moshi...mji mnaukimbia nao unabaki maghofu Tu...




Hatutaki kuwa na miji michafu kama hii Moshi....
 
Serikali ilitenga eneo la kujenga chuo kikuu kikubwa pembeni ya Ziwa Victoria, na nikaiona video moja Kikwete akiliongelea suala hilo.

Hayo ndio mawazo ya maana ya kuyafanyia kazi kuliko kuja na mada za minara. Ukishajenga mnara nini kinafuata?.
Yap ujenzi unaendelea kwa Kasi sana eneo la Itahwa karibu na manispaa ya Bukoba....kitakamilika 2025....

 
Na ukienda Kagera kuna vyuo vikuu vya serikali vingapi?
 
Ninyi mlikuwa mnajiita Waganda Kyaka. Ndio mliosababisha vita hiyo. Muwe watulivu, huwezi kupanda mchicha ukavuna nanasi.
 
Ndio maana nawaambiaga watu kukosa kwenu maji ni uzembe wenu. Sio kwamba serikali Haina pesa Bali ni poor allocation of money
 
Kabisa. Kuna tatizo
 
Na sisi watu wa Kilwa ambako vita ya majimaji ilianza kwetu hasa pale kwa wajomba zangu Nandete tuseme nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…