Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
😄😄una pc ngap za kimeru mkuuKimaumbile mabinti wa kimeru wapo na siha njema sana.
Wamebarikiwa pakubwa sana kimaumbile. ni dream come true kwa wanaume wengi.
Wana shingo ya upanga na sura flani nzuri za kupigia picha (photogenic) ni walimbwende kwelikweli ni warefu ule urefu usiokera kama wa wale watu flani wana weupe flani usiokera kama ule weupe wa papaya.
ivoivo nyuma mashallah unakuta taco la wastani sio kuubwa sio doogo yani hawa ni complete package kila sehem ya mwili imebalansi juu chini.
kuna wakati nahisi ikifika mungu akigundua anayemuumba ni mmeru bac hapo lazma anatuliza sana akili🤣
Msinipopoe wajameni nimeongelea sifa za kimaumbile.
Utakuwa mmeru wewe🤣Ni kweli kabisa Mkuu
Kwa wivu ni hatari.Ukizinguana nae bar kama ni girlfriend wako hakawii kukupasulia chupa,nina mwanangu hapa nilipo kama siku nne nyuma kashonwa nyuzi 6 baada kutofautiana nae huyo demu wa kimeru kisa wivu wa kimapenzi.
Inshort wana hasira za haraka sana.
Unanitisha bloangu manake huyo hata mimi nilipiga mara moja halafu nikakaa kando,sasa huyo mjuba mwingine sijui kajichanganya nini aisee,ina maana huo mchupa huenda ulikuwa unipasue mimi,nimeepushwa,simkaribii ng'ooKwa wivu ni hatari.
Ukiwa na mpenzi mmeru, mwanaume hakikisha umetulia
Naam!Ni kweli kabisa Mkuu