Kwa hili mabinti wa Kimeru pokeeni maua yenu

Kwa hili mabinti wa Kimeru pokeeni maua yenu

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
3,840
Reaction score
6,844
Kimaumbile mabinti wa kimeru wapo na siha njema sana.

Wamebarikiwa pakubwa sana kimaumbile. ni dream come true kwa wanaume wengi.

Wana shingo ya upanga na sura flani nzuri za kupigia picha (photogenic) ni walimbwende kwelikweli ni warefu ule urefu usiokera kama wa wale watu flani wana weupe flani usiokera kama ule weupe wa papaya.

ivoivo nyuma mashallah unakuta taco la wastani sio kuubwa sio doogo yani hawa ni complete package kila sehem ya mwili imebalansi juu chini.

kuna wakati nahisi ikifika mungu akigundua anayemuumba ni mmeru bac hapo lazma anatuliza sana akili🤣

Msinipopoe wajameni nimeongelea sifa za kimaumbile.
 
FB_IMG_17213663935898179.jpg

Kaeni kwanza tafadhali.
 
shida ya wameru ni inbreeding kwa asilimia kubwa kuna kipindi wazee wa uko waliweka utaratibu mabinti wao waolewe na makabila mengine ilikua kama kampeni ya kimyakimya..nafikiri shida kubwa ya kutoolewa na makabila mengine ni kutokana na hasira zao za karibu na kuchukua mamuzi bila kufikirisha ubongo
 
Kimaumbile mabinti wa kimeru wapo na siha njema sana.

Wamebarikiwa pakubwa sana kimaumbile. ni dream come true kwa wanaume wengi.

Wana shingo ya upanga na sura flani nzuri za kupigia picha (photogenic) ni walimbwende kwelikweli ni warefu ule urefu usiokera kama wa wale watu flani wana weupe flani usiokera kama ule weupe wa papaya.

ivoivo nyuma mashallah unakuta taco la wastani sio kuubwa sio doogo yani hawa ni complete package kila sehem ya mwili imebalansi juu chini.

kuna wakati nahisi ikifika mungu akigundua anayemuumba ni mmeru bac hapo lazma anatuliza sana akili🤣

Msinipopoe wajameni nimeongelea sifa za kimaumbile.
😄😄una pc ngap za kimeru mkuu
 
Ukizinguana nae bar kama ni girlfriend wako hakawii kukupasulia chupa,nina mwanangu hapa nilipo kama siku nne nyuma kashonwa nyuzi 6 baada kutofautiana nae huyo demu wa kimeru kisa wivu wa kimapenzi.

Inshort wana hasira za haraka sana.
Kwa wivu ni hatari.
Ukiwa na mpenzi mmeru, mwanaume hakikisha umetulia
 
Hamna hata picha hii itakuwa ni Kasongo yeye🤣🤣🤣
 
Kwa wivu ni hatari.
Ukiwa na mpenzi mmeru, mwanaume hakikisha umetulia
Unanitisha bloangu manake huyo hata mimi nilipiga mara moja halafu nikakaa kando,sasa huyo mjuba mwingine sijui kajichanganya nini aisee,ina maana huo mchupa huenda ulikuwa unipasue mimi,nimeepushwa,simkaribii ng'oo
 
Back
Top Bottom