Kwa hili niseme wazi tunaaibishana sana sisi wanaume

Minjingu Jingu

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
1,072
Reaction score
2,384
Mwanaume amevaa kaptula kisha ana mguu wa beer. Mguu mnene kama wa mwanamke. Nimejisikia vibaya jirani wanasema "jamaa ana mguu mzuri wa bia kama angekuwa binti ingekuwa magoli sana"

Mhusika anazunguka zunguka tu hapa bar mara kaenda mbele mara karudi.anajisikia fahari kabisa huyu bwege. Mguu umenenona umejaa kama wa mwanamke.
 

Nyie wenye mawazo hayo ndo wapumbavu na sio aliyevaa kaptura
 
Usije ukatongoza wanaume kisa wana miguu ya bia.
 
Uumbaji wa Mungu, au kaenda kufanya surgery?

Mwanaume hata aweje sijawahi na sitowahi mtamani. Unamtamania mwanaume mwenzio ili iwe nini labda? Ndio mambo ya kishenzi kufukuana mitaro ya maji taka huanza hivo hivo
 


Ondoka bar rudi nyumbani, ushalewa, utapata ngeu muda sio mrefu
 
Sasa bar unafanya nini sheikh yaani upo stand ya basi halafu unasema huna safari sasa ulifata nini hapo?

Au wewe ndiyo wale wazee wa hiki haramu kile halali?
Pombe ni kharamu sheikh wangu na kitimoto. Hapa.nimekuja sababu ndo sehemu pekee yenye chakula.
 
Usikute jamaa Kaleft Group alafu wewe unaangaika bure.
Wewe unaaangaika kumsikitikia ,kumbe unajisikitikia mwenyewe(waswahili wanasema “Mtikisa nazi katikisa kichwa chake”)
 
Alafu ikunufaishe nini?
Ishu sio mguu ila mwanaume unamtamanije kidume mwenzio?

Sijapanic na sion la kunipanikisha.
miguu mingine sio ya kiume kabisa fanyeni mazoezi tena unakuta mwingine na mikalio kabisa
 
Ana sura kama ya Mbowe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…