Kwa hili niseme wazi tunaaibishana sana sisi wanaume

Kwa hili niseme wazi tunaaibishana sana sisi wanaume

Mwanaume amevaa kaptula kisha ana mguu wa beer. Mguu mnene kama wa mwanamke. Nimejisikia vibaya jirani wanasema "jamaa ana mguu mzuri wa bia kama angekuwa binti ingekuwa magoli sana"

Mhusika anazunguka zunguka tu hapa bar mara kaenda mbele mara karudi.anajisikia fahari kabisa huyu bwege. Mguu umenenona umejaa kama wa mwanamke.
Hao tunaita wanaume wa kike.
Wapo wengi sana bro.

Usisahau biashara ni matangazo
 
Back
Top Bottom