Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Siku ya tatu leo nipo Tanzania. Sasa leo naondoka kuelekea Arusha . Kwa muda ntakaoondoka natagemea kufika Arusha saa 8 Usiku kuwa Karatu. Nataka enda Ngorongoro na Serengeti Weekend hii
Swali ni kama nitafika Arusha saa 8 usiku nikaenda Hotel kulala. Lets say nimefika nikaandika Check in Tarehe 7 check out 8. Swali ni je nikiwa nimefika saa 8 usiku nikalala ada yangu inaisha lini?
1. Saa nne asubuhi yake tarehe hiyo hiyo?
2. Saa nne keshokutwa yake ambayo ni tarehe 9?
Kuna jamaa yangu anasema aliwahi fika Hotel saa 7 usiku. Baadaye saa 4 anaambiwa siku yake imeisha. Na ukiangalia ni the same date. Hii inakuwa imekaaje?
Naomba msaada kisheria.