Kwa hili watu wa Kaskazini wanaongoza kwa population Dar

Wahaya mbona huwa ndo wa kwanza kuongelewa unapotaja kaskazini kuna kitu hapo sio bure nipe sababu
Mkuu usihangaike na hawa watu kwan tabia ya mtu anayekuogopa na kutokujiamini ataishia kukusema maneno mabaya tu (inferiority)
 
Wachaga wote heshima kwenu....

Katika suala zima la maendeleo makabila mengine yataendelea kuwa wasindikizaji tu....
 
One thing about watu wa kaskazini ni hard workers.
Na ndio siri.ya mafanikio yao, wakija mjini wanachapa kaz,wanatafuta pesa wkt wenyeji wamekalia vigodoro,kucheza draft na kujadili siasa.
mkuu umeongea ukweli mtupu atakaypinga hapa inabid atafutiwe daktar wa magonjwa ya akili haraka
 
One thing about watu wa kaskazini ni hard workers.
Na ndio siri.ya mafanikio yao, wakija mjini wanachapa kaz,wanatafuta pesa wkt wenyeji wamekalia vigodoro,kucheza draft na kujadili siasa.
kazi gani mnafanya huku town hakuna mashamba..
 
Elfu tano mbali... weka watu 500 itapendeza zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…