The Great Haya
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 1,773
- 1,660
Mkuu usihangaike na hawa watu kwan tabia ya mtu anayekuogopa na kutokujiamini ataishia kukusema maneno mabaya tu (inferiority)Wahaya mbona huwa ndo wa kwanza kuongelewa unapotaja kaskazini kuna kitu hapo sio bure nipe sababu